Jeef George
Member
- Dec 7, 2019
- 47
- 60
Tufikiri kidogo
Magufuli ni nani?
. Ni kiongozi ambaye mwenye kuumizwa na rushwa
. Ni kiongozi ambaye anaumizwa na kuwakandamiza wanyonge
. Ni kiongozi ambaye haogopi kusema ukweli wa mambo kama kwa kuguswa moyoni
. Ni kiongozi ambaye anahurumia watu wenye kuteseka gereezani hata mafisadi pia
. Ni kiongozi ambaye ni mwenye kutekeleza ahadi za wanainchi
. Ni kiongozi ambaye hatikiswi na maneno ya watu
. Ni kiongozi ambaye haogopi mabeberu
kiongozi ambaye ni mwenye kuumizwa na wasiopenda maendeleo ya taifa
Hebu tufikiri kidogo
Ni nani ambaye angeweza kuleta maendeleo na miradi mikubwa iliyopo inchini kama sio Magufuli
Wakati wa maendeleo ni sasa wala si wakufikirika tena
Nina shangazwa na watu wanaokosoa maendeleo yanayoendelea inchini ndani ya miaka minne takribani trillion 58 na point something zimekusanywa haijawahi kutokea kwa Tanzania tangu mwanzo wa taifa hili...
Nashangaa wewe au yule au mimi tunakosa hekima na kuanza kukosoa vikali
Kama rushwa ilikua imetawala inchi ilikua imeoza watu walikua wanalia hasa masikini wa chini kabisa... Hali ilikua mbaya
Kuwa mzalendo wa kulipa kodi stahiki ili kusudi maendeleo yafike katika vina vya juu zaid
Watu warefu mtusaidie mnaona nini huko 2020 hali itakuaje?