Ni nani atakayemwambia ukweli Ali Kiba?

Hayo mawazo yako acha kujumlisha na wengine...
#mwambie sina...wakutamba nae
...............................wakuringa nae...
 
[emoji23] [emoji23] eti hapend show off... Ndo mlichobakisha hcho
 
Mashabiki maandazi ndio wanaompoteza bora wewe shabiki wa ukweli umeona jamaa jinsi anavyofuka kwenye GAME,tukisema sisi tunaambiwa ni HATER wakati sisi ni wadau wa mziki tunapenda mziki mzuri,tunapenda mziki wetu ufike mbali,sasa tukiendekeza hawa "WACK EMCs wakubebwa bebwa na media na matimu mavi tunaua GAME,kifupi KIBA kashafika end of the road Game imemshinda bora abaki kuwa mshabiki tu.
 
Tafuta pesa kijana, acha kujisumbua na mtu ambaye tayari ameshatengeneza maisha yake kupitia mziki huu.

Kiba kashafanya kila kitu, miaka zaidi ya 15 kwenye game. Kwa sasa nadhani anakula mafao yake taratibu.

Tatizo mambo ya uteam ndiyo yanayowachanganya sana. Kama Kiba anakuzingua, wapo wasanii kibao wanafanya vizuri, washabikie hao!
 
Chukua Pepsi nakuja kulipa
 
Kwa hiyo wewe ulivyocomment hapa imekuzuia kutafuta pesa? Hivi kutafuta pesa kunamzuia mtu kuingia jf na kuanzisha Uzi?
 
Kwa hiyo wewe ulivyocomment hapa imekuzuia kutafuta pesa? Hivi kutafuta pesa kunamzuia mtu kuingia jf na kuanzisha Uzi?
You are so concerned with business which is not yours. Kufanikiwa na kutokufanikiwa kwake kuna impact ya moja kwa moja na maisha yako binafsi? Kutafuta pesa ni phrase niliyotumia kumaanisha " mind your business"
 
Kwani huwa anawapa msosi hadi mhangaike nae
 
Well said!
 

Anadharau sana Alikiba,hapendi kuwa karibu na watu alafu kazi zake mbovu mbovu, interview zake anaonekana ni mtu wa kupenda beef za kijinga na sio amani kifupi anakera.[emoji53] [emoji53] [emoji53]
 
Huyu ni Mr nice wa pili aende zake akapumzike anakuja kufarakanisha wasanii wachanga kwa makundi ya kijinga kazi yake. .....Yooh,......Yooh, ...Papriiiii papriiiiiiii sijui ndio vitu gani
 
kuna msanii anaitwa Bright kama sikosei...huyu angekuwa anajielewa huu ndio wakati wa kulala nao mbele hawa fukus..ila kibongo bongo fiesta ikiisha kwisha habar yake
 
Mimi apa. Mnichangie pesa ya msosi hotel na chonyio nyio nyioo.
 
Mwacheni na maisha yake.Muzik ni kazi tu kama zingine na sio lazima wewe uwe shabiki wake.Kuna tofauti kubwa kati ya mziki wa msanii na maisha ya msanii.sasa sisi kama mashabiki tushughulike na mziki nakama katoa nyimbo unayoiona wewe huipendi jua kuna wengine wataipenda.Machagui ni mengi duniani.
 
You are so concerned with business which is not yours. Kufanikiwa na kutokufanikiwa kwake kuna impact ya moja kwa moja na maisha yako binafsi? Kutafuta pesa ni phrase niliyotumia kumaanisha " mind your business"
Wewe jamaa sikutukani ila akili zako zimekaa tenge haki nakuambia. Hebu itafakari akili yako uone kama imetengamaa. By the way ngoja nikusaidie rational thinking kuhusu kauli yako ya "mind your business", hivi unafikiri kila mtu akimind business zake hili jukwaa la celebrities litakuwa na uzi hata mmoja?Hivi unajua hili ni jukwaa kwa ajili ya celebrities na hakuna celebrities anayeweza kuja kujipost humu isipokuwa sisi ndiyo tunawapost sasa ukisema tumind our businesses unataka tulifunge hili jukwaa au?

Are you reasonable enough? Do you use your common sense before typing?

Najaribu kukufundisha tu jinsi ya kufikiri kama mtu mwenye akili timamu.

Mimi siwezi kumpost msanii kwenye page zangu za insta, fb, twitter au WhatsApp huwa napost maisha yangu. Lakini inapokuja kwenye jukwaa la celebrities sina namna lazima nipost wasanii na mastaa, hili ni jukwaa la celebrities na maisha yao kwa hiyo ukiona mtu anazungumziwa kwa uzuri au kwa ubaya we jua ni celebrity na hapa ni mahali pake. Kwa hiyo ukisema ni mind my own business unataka hili jukwaa lisiwe na threads maana ni jukwaa linalohusu mastaa na hakuna staa atakayekuja kujipost hapa. Jamaa hebu kaa chini jipime akili yako kama imetengamaa otherwise nenda kwenye jukwaa la siasa au elimu kule utadiscuss issues.

Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kucomment kama wewe kwenye hili jukwaa wote mnaokomment sijui "mind your business" ni hamjielewi na hamjui implications za kauli zenu kwa ustawi wa jukwaa. Kiufupi nyie ndiyo mnarudisha nyuma maendeleo ya jukwaa mnafanya watu waogope kuanzisha nyuzi wakamind their own business na wakifanya hivyo, mtaacha kuja hapa maana kinachowavuta na hizo nyuzi mnazoona kama za wasio na shughuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…