Ni nani atakayemwambia ukweli Ali Kiba?

Ni nani atakayemwambia ukweli Ali Kiba?

Lakini mbona wasanii wengi kama mmoja anatoa nyimbo mbaya ya nini kumuanzishia mathread kibao kana kwamba anaimba yeye peke ake si ni kumpotezea tu na kazi zake mbovu
 
Sasa tumwambie nini wakati kipaji chake ndio kimeishia pale.
Jinsi unavyoona anaimba ndio kipaji chake halisi
 
Mkuu umekosa kazi ya kufanya!??
 
mwaka wa 4 huu naskia tuu kiba kachuja mara hawezi na blablaa mingi
ila akitoa wimbo tz inasimama
show kama kawa
kama dem tuu we unamuona mbaya wenzio wanawaza watampata lini....
asa wote mkiwa mashabiki wa kiba wakna mh temba au amba lulu nani awashabikie?

kiba yuko right yani ukinipenda twende wote usiponpenda pita hivi.. hakuna kutumia nguvu kuwaaminisha watu ujinga
 
Back
Top Bottom