mwaka wa 4 huu naskia tuu kiba kachuja mara hawezi na blablaa mingi
ila akitoa wimbo tz inasimama
show kama kawa
kama dem tuu we unamuona mbaya wenzio wanawaza watampata lini....
asa wote mkiwa mashabiki wa kiba wakna mh temba au amba lulu nani awashabikie?
kiba yuko right yani ukinipenda twende wote usiponpenda pita hivi.. hakuna kutumia nguvu kuwaaminisha watu ujinga