jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 651
- 2,246
...utani!Bernard Membe
Kuna Cha kushinda ubunge au kuna kupeana ubunge muhimu tu Kama mmliki wa chama mnaivana umepitaKama huna cha kupost Bora ukae kimya.
Yaani swali la kipuuzi kwa wakati usio muafaka.
Hujajua hata Nani atashinda Ubunge halafu unauliza uwaziri wa ulinzi.
Hivi unaakili kweli wewe?
2020
[SUB] Mkuu umefikiria sawa na mimi.[/SUB]Atakuwa yule aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kigoma maana nimeona anaenda kugombea kwao Mvomero