Ni nani atakuwa Waziri wa Ulinzi baada ya Mwinyi?

Mimi nadhani Daktari yule wa Temeke Hospital anafaa sana, Dr chrispin Manyonyi jamani kuna vipaji vimejificha jamani acheni tu. Ana uwezo mkubwa sana kupita maelezo.
Kwa hiyo ni mwendo wa Matabibu tu kwenye hii Wizara.Weka picha na wasifu siyo mbaya.Nawakiisha.huko wenye vipaji nani atawa shona majeraha?
 
Hussein Mwinyi ambaye ni Waziri wa Ulinzi anayetarajiwa kumaliza muda wake mapema leo amechaguliwa awe mgombea wa CCM huko Tanzania Visiwani,Zanzibar. Jambo la kheri na hongera kwake!

Sasa basi,hoja hapa inabaki katika muktadha wa nani baada ya yeye atakuwa mbadala katika nafasi atakayoiacha wazi baadae baada ya Uchaguzi mkuu?

Ikumbukwe,Wizara ya Ulinzi ni Wizara inayohitaji kuongozwa na mtu makini, mwerevu na mwenye kiwango cha hali ya juu cha maadili bora!

Swali ni je ni nani atafaa kuwa...?
Kwanini wewe ukiteuliwa siyo makini? acha mawazo mgando kuona mtu fulani special kwa kitu fulani, watanzania tupo milioni 55.
 
Hussein Mwinyi ambaye ni Waziri wa Ulinzi anayetarajiwa kumaliza muda wake mapema leo amechaguliwa awe mgombea wa CCM huko Tanzania Visiwani,Zanzibar. Jambo la kheri na hongera kwake!

Sasa basi,hoja hapa inabaki katika muktadha wa nani baada ya yeye atakuwa mbadala katika nafasi atakayoiacha wazi baadae baada ya Uchaguzi mkuu?

Ikumbukwe,Wizara ya Ulinzi ni Wizara inayohitaji kuongozwa na mtu makini, mwerevu na mwenye kiwango cha hali ya juu cha maadili bora!

Swali ni je ni nani atafaa kuwa...?

Kama kabla ya Hussein Mwinyi alikuwepo, basi atapatikana mwingine na atafaa.
 
Atakua huyo huyo aliyepo leo, Zanzibar hashindi, na atarejea bara kuendelea na kazi yake.
 
Uwezo wa nini?
Mimi nadhani Daktari yule wa Temeke Hospital anafaa sana, Dr chrispin Manyonyi jamani kuna vipaji vimejificha jamani acheni tu. Ana uwezo mkubwa sana kupita maelezo.
 
Uwezo wa nini?
Halafu some people bana kuelewa ni ngumu. mpaka uelezeee weeee!!! Km dish limeyumba tulia. Mwlm anakupa 2/10 tu ya somo zima. Mengine utatafuta. sasa watu km nyie mlitakaga yote ndo matokeo yake haya. Ku fail kujua

Hayaa! uwezo wa kula maharage!
 
Back
Top Bottom