Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Subiri kidogo tu watakuja.
wana-JF wanaonana kwa keyboard tu sijui kama watakuelewa!
tusije kukabana
tusije kukabana
kukabana nini
Arusha pande zipi tukutaneSidhani kama nafasi ni finyu kiasi hicho mpaka tubanane!!!!
Hello jf Arusha wingz, nani anataka kampani wikiendi hii???
karibuni niko Arusha kwa miezi kadhaa, hivyo kama utapenda/unapendelea kuonana macho kwa uso na mwanajf,njoo unakaribishwa
NB:Uwe uko Arusha
Arusha pande zipi tukutane
VODACOM
Kazi ni kwako
koo
....
mi nipo mbona sema nawe umekuwa mkimyambona hupatikan kule tena
Naja tukutane mida ipi.