Ni nani atanipa kampani la nguvu wikiendi hii

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,663
Hello jf Arusha wingz, nani anataka kampani wikiendi hii???
karibuni niko Arusha kwa miezi kadhaa, hivyo kama utapenda/unapendelea kuonana macho kwa uso na mwanajf,njoo unakaribishwa
NB:Uwe uko Arusha
 
wana-JF wanaonana kwa keyboard tu sijui kama watakuelewa!
 
Hello jf Arusha wingz, nani anataka kampani wikiendi hii???
karibuni niko Arusha kwa miezi kadhaa, hivyo kama utapenda/unapendelea kuonana macho kwa uso na mwanajf,njoo unakaribishwa
NB:Uwe uko Arusha

VODACOM
Kazi ni kwako
 
Huyu anaishi huko huko Florida mtafute kwa raha zako.

Back
Top Bottom