Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Nikimuangalia vizuri huyu mtoto wa Irene Uwoya ni wazi ana hitaji kuwa na baba kama sio baba au uncle maana ni wazi huyu mtoto kwa anavyo lelewa lazima atakuja kusahau kuwa yeye ni mwanaume!
Uwoya anamlea huyu mtoto kama mtoto wake wa kike au shosti yake kabisa!
Ina maana Harmonize au Mbosso wameshindwa kuwa baba wa huyu mtoto?
Wasalaam....
View attachment 1769953