Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Then be fair and see him for the kid he is.Nimemtenganisha na Mama yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Then be fair and see him for the kid he is.Nimemtenganisha na Mama yake
Hafu bado kinda kabisa. Ana miaka 27 tu.ila huyo irene huwa namfeel sn toka zamani nilikuw naskia wivu sn enz zile h baba anakula..
mi huwa nikiangalia muv zake akiongea tuu ile sauti yke huwa nadisa.
Mkuu, hilo pendekezo la baba awe Harmonize au Mbosso ulidhamilia au umefanya utani?Wala sijaongelea muonekano bali nimeongelea umuhimu wa mtoto huyo kupata baba
Unapowaombea wanao, waombee na watoto wengine Mwenyezi Mungu awaongoze na kuwalinda!
labda kiongozi wa machokosijaona shida ya huyo mtoto kwasababu anamuonekano unaofanana, na mama ake na sio dhambi.....Anaweza akaja prove wrong watu humu ndani....anaweza kuja kuwa mtu mkubwa sana
WordMambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.
Irene hajaombea hata ubunge useme ni kiongozi wa jamii anahitaji kuishi kwa sifa fulani za uongozi!
Let her live her life the best she knows how to.
And worry about your life.
Achen inshu za kudekeza matoto kupitiliza,kwa jinsi ulivyofunguka hapa nazani malezi yako yatakuwa ni ya kumsikiliza mtoto zaidi,yaan unakuwa mtumwa kwa mwanao like mama Amaira via azam twoNikuambie kitu ndugu yangu malezi tuliyopewa na wazazi wetu sio malezi tunayoweza ku apply kwa watoto wetu 100% sasa hivi kubali kataa.
Dunia imebadilika sana. Ukimpeleka mtoto wako kibabe utampoteza.
Tunahitaji kujiweka karibu na watoto wetu Ili kujenga sense ya trust Kati yao na sisi. Trust inasaidia watoto kutuamini, kufunguka kwetu na pia kujua kwamba no matter how hard life gets they have a home to come back to.
Depression imekuwa so real, watoto wadogo wanajiua. Sababu wanapitia mengi ambayo hawawezi kutuambia kwa vile tumekuwa wakali kama mbogo.
Times have changed honey, we need to change accordingly.
The little man is just a kid.
Jitahidi kumtenganisha mtoto na drama za Mama yake.
Na ukiwa kama Mzazi/ Mzazi mtarajiwa jifundishe kuwa na control na mdomo wako when it comes to kids.
Unapowaombea wanao, waombee na watoto wengine Mwenyezi Mungu awaongoze na kuwalinda!
Of course. These instincts are uncontrollable when it comes to kids.Naona motherly instincts zime kick in
Wanawake mnavyoona kwa jicho lenu ni really tofauti na wanaume
Too much sympathy mnaonesha
Sasa wababa humu wanakupa reality on how to be a man maana wao ni men to begin with unaanza kukataa of which wewe hujawahi kua man
Ndio maana exactly huyu mtoto needs a father figure to keep him in check
A child yes,ni a boy child sio just a "child"....
Sasa yeye ndio atakuja pambana na reality ya men's world,hapo wewe haupo ndio shida itakapomuanzia
Wewe tumia characters kwenye TV kama yardstick ya kuwalea wanao.Achen inshu za kudekeza matoto kupitiliza,kwa jinsi ulivyofunguka hapa nazani malezi yako yatakuwa ni ya kumsikiliza mtoto zaidi,yaan unakuwa mtumwa kwa mwanao like mama Amaira via azam two
Bibie bora uwe unacomment Kidhungu tu, kumbe Kiswahili huwa Unachamba hivi Jamani..!!!Wewe tumia characters kwenye TV kama yardstick ya kuwalea wanao.
Niondolee utopolo hapa.
Dume zima linashinda kwenye matamthilia linabanana kwenye makochi na shemeji yake na linakariri kabisa na majina ya TV Characters.
Mama Amaira my ass.
I wouldn't know him but a father figure is not merely someone you are dating. If you assume that every man you date will be a father to your kids albeit a good one just shows how misinformed you are. It takes more than just being a mere man to be a father figure.Which you apply at a wrong place at a wrong time.
Labda you know him well mpaka ukasema hivi..personally I dont know him!
Naona unachukua makosa ya wababa ku-deprive your kid his childhood.
Makosa ya wababa ni yako wewe na wao,mtoto hausiki
To think nyie ni superhero sana mnaweza act as mothers and fathers at the same time inaonesha how clueless and confused you feminists are!