Ni nani Baba wa mtoto wa Irene Uwoya kwa sasa?

Ni nani Baba wa mtoto wa Irene Uwoya kwa sasa?

The little man is just a kid.

Jitahidi kumtenganisha mtoto na drama za Mama yake.

Na ukiwa kama Mzazi/ Mzazi mtarajiwa jifundishe kuwa na control na mdomo wako when it comes to kids.

Unapowaombea wanao, waombee na watoto wengine Mwenyezi Mungu awaongoze na kuwalinda!
Ni kher uwape somo maana wabongo nyoso Kweli,

Malezi mema Irene
 
Habari ya ubabe sijui unaitoa wapi

Unaambiwa mtoto lazima alelewe kwa namna itakayomfanya atambue yeye ni nani
Kwa kuokota mijanaume tu ilmradi nionekane Nina mwanaume na nilazimishe u father figure katika maisha ya mwangu?

If I were a single Mom ningemlea mtoto wangu katika maadili ya hofu ya Mungu kwa kuzingatia Nina muexpose katika maisha ganii, marafiki wangu ni Aina ganii na hao wanaume ninaotoka nao ni wa aina ganii na why wawe na ukaribu na mwanangu kama hatupo committed.

Hamueleweki shida yenu hasa ni nini?

Mpo focused zaidi kwa kumuattack mtoto.
 
Kwa kuokota mijanaume tu ilmradi nionekane Nina mwanaume na nilazimishe u father figure katika maisha ya mwangu?

If I were a single Mom ningemlea mtoto wangu katika maadili ya hofu ya Mungu kwa kuzingatia Nina muexpose katika maisha ganii, marafiki wangu ni Aina ganii na hao wanaume ninaotoka nao ni wa aina ganii na why wawe na ukaribu na mwanangu kama hatupo committed.

Hamueleweki shida yenu hasa ni nini?

Mpo focused zaidi kwa kumuattack mtoto.
Umedata wewe mbona unazungumza vitu nisivyozungumza?
 
The little man is just a kid.

Jitahidi kumtenganisha mtoto na drama za Mama yake.

Na ukiwa kama Mzazi/ Mzazi mtarajiwa jifundishe kuwa na control na mdomo wako when it comes to kids.

Unapowaombea wanao, waombee na watoto wengine Mwenyezi Mungu awaongoze na kuwalinda!
Umleavyo ndivyo akuavyo, hizo drama za mama ndio zinamuharibu mtoto! Kiukweli mtoto anaharibika!

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
You not making sense outta my shit is not my problem....

I might be contrading but na wewe pia kuna possibility ukawa self contradicting,50/50 chance!

Single motherhood is a moral disaster,ukibisha utakua mnazi tu

Wewe unatakaje jamii itoe incentive kwa bad behaviour?

Yaani unataka jamii itoe reward to single mothers who have kids with no fathers which is a tragedy?
Is there a kid with no father? Are you listening to yourself right now? Did these women hump themselves?

Are you simply intent on making yourself act a fool?

Was Irene a single mother the entire time? We're our mothers, sisters and aunties not married once upon a time?

Is divorce a death sentence? What about death? Are you immortal?
If you die and leave your wife and kids, won't your wife be known as a single mother?

Then what? Should we throw insults at her? Call her names accuse her of uncouth and barbaric behaviour?

Interesting.
 
Kazi yako ni kutetea vitu vya ajabu tu
I stand for what I believe in.

No matter who thinks what.

I will voice my opinion if your balls feel squeezed then grow some steel ones.
 
Kuna father na sperm donor

Wewe jibebeshe mimba kwa asietaka utegemee huyo mtu atakua baba

Stop this nonsense wewe

Plus,there are mothers with kids they do not know who exactly is the biological father until they do a random DNA test

Fvck Irene,who cares he had a marriage or not...

Mimi naongelea absence ya father in these kids...

Irene blah blah,mnamjua nyie,nachojua her alleged kid has no father figure whatsoever...thats a problem whether you like it or not!


Single mother sio window,na window sio single mother

Watoto wana emotional connection with their deceased father,single motherhood there is no emotional connections whatsoever....your kids were rejected,thats a tragedy!

Divorce is a failure btn you two,thats your problem,causing trauma to the innocent kids.This is squarely on you.You two will pay for this. Unfortunately,It is a tragedy it happens and part of us.

It is a bad behaviour

Na natural law,haitakiwi ku-reward bad behaviour.......

Wewe unataka tuingiwe huruma tuanze ku-reward bad behaviour...

Ndio tunachofanya kama jamiii,hatujui hii itaharibu the same jamii
Kiukweli arguments zako zipo more in attack mode.

With such negativity, anger, hatred and bitterness am afraid we can't get anywhere.

If you so will and if you seem fit stick to your opinion.

When you think you can argue reasonably, you shall do so.
 
Unataka kumjua baba wa mtoto wa watu ili iweje? Unataka kujiweka?
 
Hawa ndio wale akina ...junya aka junior mwonekano tu ndio unaonesha malez hayo mtoto mdogo unamweka manywele sjui rasta kichwan iweje

Huyu mtoto uwoya anamwandaa ili awe shoga japo wengi mtani attack ila nafsin mwenu mnakubaliana na Mimi mtoto wa kiume anatinda nyusi toka lini ?
 
Siku zote malezi ya mzazi mmoja yana changamoto sana,kama ukibisha watafute walimu wa nidhamu ktk shule mbalimbali watakuambia wanapokea kesi nyingi na matukio ya kinyanyasaji kutoka kwa watoto wanao lelewa na single parent,kuliko wanao lelewa na baba na mama kwa pamoja ndani ya familia.

Nilitizama makala moja UTV ilikiwa inaangazia shule moja ambayo ipo Mwanza (Ipogo).Waliwahoji mwalimu wa nidhamu (jina la shule limenitoka) na afisa ustawi wa jamii walisema kesi nyingi za watoto kuwa watovu wanidhamu,kunyanyaswa,kubaka,kulawitiwa mara nyingi wanazipata kutoka kwa watoto wanao lelewa mzazi mmoja.

Single parent ana kazi ya ziada kuhakikisha mtoto anapata vyote kama ilivyo kwa mtoto anaye lelewa na wazazi wawili.Si kazi ndogo ni kazi ngumu sana kama mzazi mwenyewe akiwa haeleweki anaweza kumpoteza mtoto wake.
 
Wewe ni either single mama usie na akili au ni mpuuzi tu usiejua hili Wala lile.

Au umeachika , au huna ndoa.

Hakuna mtu Alie na familia akafurahia huo upuuzi wa Irene

Makosa ya irene ni yapi?
 
Lazima aokote mwanamme Ili mtoto apate father figure? Hana wajomba, Hana Babu, Hana Baba wadogo?

Mtoto kosa lake ni kipi katika 'ukweli' wako?

Furthermore kumbe hujanielewa nilipokuambia am not any of those things you assumed.

I guess am wasting time arguing with a lunatic.

Huyo mtoto mara nyingi huwa yupo na uncle zake pia,watu wanapenda sana kupangia watu maisha
 
Acheni inshu za kishamba kuiga iga visivyoigika,unadekeza litoto kama yai hata ukiwaachia watu wakae nalo lisaa limoja tu hawawez.

Na matoto ya namna hyo yanaishiaga kuwa mateja na malaya na mabinafsi pumbavu kabsa wewe na hayo manao unayoyaelea kama mapimbi

Kwanini mnahukumu
Hakuzalia jamii ni wa kwake Irene
 
Nikuambie kitu ndugu yangu malezi tuliyopewa na wazazi wetu sio malezi tunayoweza ku apply kwa watoto wetu 100% sasa hivi kubali kataa.

Dunia imebadilika sana. Ukimpeleka mtoto wako kibabe utampoteza.

Tunahitaji kujiweka karibu na watoto wetu Ili kujenga sense ya trust Kati yao na sisi. Trust inasaidia watoto kutuamini, kufunguka kwetu na pia kujua kwamba no matter how hard life gets they have a home to come back to.

Depression imekuwa so real, watoto wadogo wanajiua. Sababu wanapitia mengi ambayo hawawezi kutuambia kwa vile tumekuwa wakali kama mbogo.

Times have changed honey, we need to change accordingly.
The little man is just a kid.

Jitahidi kumtenganisha mtoto na drama za Mama yake.

Na ukiwa kama Mzazi/ Mzazi mtarajiwa jifundishe kuwa na control na mdomo wako when it comes to kids.

Unapowaombea wanao, waombee na watoto wengine Mwenyezi Mungu awaongoze na kuwalinda!
Una akili sana wewe Mwanamke
 
Back
Top Bottom