Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hakika wamejaa pedophilesHe's just a boy. Can we trust you with our children for real? Sounds like many pedophiles in this thread
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika wamejaa pedophilesHe's just a boy. Can we trust you with our children for real? Sounds like many pedophiles in this thread
It is very very sad.He's just a boy. Can we trust you with our children for real? Sounds like many pedophiles in this thread
Wala hajakaa kike amefanana na mama yake na atakuwa poa tuDogo kakaa kike tu .acha wahuni waje waji vunie
Watoto wengi wamelelewa na mama mmoja tu na wamekua vyema tu ,kina baba asilimia kubwa hukimbia familiaNilishaapa sitaachia mwanamke malezi
Hasa mnaoandika vizungu vizungu uchwara akili zenu ziko magotini
Labda baba yako ndio alikimbia familia.Watoto wengi wamelelewa na mama mmoja tu na wamekua vyema tu ,kina baba asilimia kubwa hukimbia familia
I feel sorry for the kidNaona motherly instincts zime kick in
Wanawake mnavyoona kwa jicho lenu ni really tofauti na wanaume
Too much sympathy mnaonesha
Sasa wababa humu wanakupa reality on how to be a man maana wao ni men to begin with unaanza kukataa of which wewe hujawahi kua man
Ndio maana exactly huyu mtoto needs a father figure to keep him in check
A child yes,ni a boy child sio just a "child"....
Sasa yeye ndio atakuja pambana na reality ya men's world,hapo wewe haupo ndio shida itakapomuanzia
Afanye yote, Ila asifikie hatua ya kubadilisha au kuvaa nguo mbele ya mtoto.View attachment 1766743
Nikimuangalia vizuri huyu mtoto wa Irene Uwoya ni wazi ana hitaji kuwa na baba kama sio baba au uncle maana ni wazi huyu mtoto kwa anavyo lelewa lazima atakuja kusahau kuwa yeye ni mwanaume!
Uwoya anamlea huyu mtoto kama mtoto wake wa kike au shosti yake kabisa!
Ina maana Harmonize au Mbosso wameshindwa kuwa baba wa huyu mtoto?
Wasalaam....
Dah [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]Kaeni kwa kutulia, ikinyesha ndo tutaona panapovuja.
Uzuri wa kukaa nyuma ya keyboard ni kwamba you think you know everything.
To set the record straight.
I am not a single Mama, I am not divorced and I am certainly not dumb.
Kuanza kumshambulia mtoto mdogo ni ulimbukeni and you need to have your conscience resuscitated.
Hiyo ni separation anxiety.Dada kuwa makini na malezi,unavyoongea ni kama mtoto hana hisia zozote za kimapokeo kipindi cha makuzi. Ubongo wa mtoto unapokea na kuhifadhi vitu bila kufanya upembuzi,kitu ambacho ni kibaya sana huko mbeleni. Nilishawahi msikia huyu Irene akilalamika dogo anataka kuambatana nae kila mahali,mpaka ikafika hatua anakasirika akitamani acheze na wenzake lakini dogo hataki.
Hiyo ni separation anxiety.
Anyway soma uliponi quote uelewe nilichoandika.
It is natural.Hiyo separation anxiety is it natural or ni mapokeo ya kimakuzi kwa huyo mtoto?
It is natural.
Do you know anything about raising kids or you need a 101?
Separation anxiety huwa inatokea pale mama na mtoto wanapokuwa so close hivyo basi kumsababishia mtoto ugumu wa kutengana na Mama yakeNashukuru,sijui chochote,wewe unajua zaidi
Separation anxiety huwa inatokea pale mama na mtoto wanapokuwa so close hivyo basi kumsababishia mtoto ugumu wa kutengana na Mama yake
I hope umenielewa.
Of course kuwa hiyo age haikutakiwa iwe so evident but sio kigezo Cha kumshambulia mtoto.