Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Lol. Kivipi Mkuu?Asante,nimegundua nilikuwa nawafuga wanangu,sasa nitaanza kuwalea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol. Kivipi Mkuu?Asante,nimegundua nilikuwa nawafuga wanangu,sasa nitaanza kuwalea.
Kama huoni kosa Sina sababu ya kukuoneshaMakosa ya irene ni yapi?
Mbona hii ni kawaida tu mtoto kutaka kuwa nawe muda woteDada kuwa makini na malezi,unavyoongea ni kama mtoto hana hisia zozote za kimapokeo kipindi cha makuzi. Ubongo wa mtoto unapokea na kuhifadhi vitu bila kufanya upembuzi,kitu ambacho ni kibaya sana huko mbeleni. Nilishawahi msikia huyu Irene akilalamika dogo anataka kuambatana nae kila mahali,mpaka ikafika hatua anakasirika akitamani acheze na wenzake lakini dogo hataki.
Kama moto upo nyie watu mtachomwa moto hakii na maneno yenu mshindwe na mlegeeHuyu mtoto anaonekana amedekezwa na anadeka mno. He is an easy target to bullying because he's overly pampered by his mom and also because of his soft and feminine appearance. Maybe he's born gay, who knows? Same applies to Diamond's son with Hamisa Mobetto. The little boy looks gay, gay, gay.
Ok,nimekuelewa mkuuHuyo irene mmewe alifariki,unataka afanyaje
Acha kuwasemea watu vibaya
Hata kwenye ukoo wako wapo single mother wa kutosha
Na palipo na single mother kumi jua kuna single father kumi pia upoo
Labda awe amezaliwa MasakiNikuambie kitu ndugu yangu malezi tuliyopewa na wazazi wetu sio malezi tunayoweza ku apply kwa watoto wetu 100% sasa hivi kubali kataa.
Dunia imebadilika sana. Ukimpeleka mtoto wako kibabe utampoteza.
Tunahitaji kujiweka karibu na watoto wetu Ili kujenga sense ya trust Kati yao na sisi. Trust inasaidia watoto kutuamini, kufunguka kwetu na pia kujua kwamba no matter how hard life gets they have a home to come back to.
Depression imekuwa so real, watoto wadogo wanajiua. Sababu wanapitia mengi ambayo hawawezi kutuambia kwa vile tumekuwa wakali kama mbogo.
Times have changed honey, we need to change accordingly.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilishaapa sitaachia mwanamke malezi
Hasa mnaoandika vizungu vizungu uchwara akili zenu ziko magotini
WaambieKero yangu ni vile mnamsema huyo Chalii kwamba kalegeza macho wakati ndivyo alivyo.
Hata wewe unaweza kupata mtoto wa kiume mwenye macho ya aina hiyo
Naunga mkono hoja mkuu, Ila cyo kwa hao uliyowapendekeza! kwa7bu nao bado ni watoto na hoja ni mtoto kupata malezi ya baba na si mtoto kupata malezi ya mtoto mwenzie. Nasema haya kwa jazba na kwa kumaanisha Kama baba na mlezi..ili kuepuka yacje jirudia yale ya janjaro na kumbomoa mtoto kiakili badala ya kumjenga.View attachment 1766743
Nikimuangalia vizuri huyu mtoto wa Irene Uwoya ni wazi ana hitaji kuwa na baba kama sio baba au uncle maana ni wazi huyu mtoto kwa anavyo lelewa lazima atakuja kusahau kuwa yeye ni mwanaume!
Uwoya anamlea huyu mtoto kama mtoto wake wa kike au shosti yake kabisa!
Ina maana Harmonize au Mbosso wameshindwa kuwa baba wa huyu mtoto?
Wasalaam....
Mbona hii ni kawaida tu mtoto kutaka kuwa nawe muda wote
Hebu niache[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wivu tu.
Astagafiruuuliaah kweli we fisiDogo jicho jicho mpaka jicho la huku jicho.
View attachment 1766743
Nikimuangalia vizuri huyu mtoto wa Irene Uwoya ni wazi ana hitaji kuwa na baba kama sio baba au uncle maana ni wazi huyu mtoto kwa anavyo lelewa lazima atakuja kusahau kuwa yeye ni mwanaume!
Uwoya anamlea huyu mtoto kama mtoto wake wa kike au shosti yake kabisa!
Ina maana Harmonize au Mbosso wameshindwa kuwa baba wa huyu mtoto?
Wasalaam....