Kalegeza wapi?Mtoto kaanza kulegeza macho mapema sana
Nikuambie kitu ndugu yangu malezi tuliyopewa na wazazi wetu sio malezi tunayoweza ku apply kwa watoto wetu 100% sasa hivi kubali kataa.Analelewa kimayai
Kwan kulegeza macho ni dhambi?Kalegeza wapi?
The kid has beautiful eyes, just like his Mom!
Kama wewe unalegeza ni wewe pekee Yako.
Go back to your insinuating remark first.Kwan kulegeza macho ni dhambi?
Kamuulize mama atakwambia.View attachment 1766743
Nikimuangalia vizuri huyu mtoto wa Irene Uwoya ni wazi ana hitaji kuwa na baba kama sio baba au uncle maana ni wazi huyu mtoto kwa anavyo lelewa lazima atakuja kusahau kuwa yeye ni mwanaume!
Uwoya anamlea huyu mtoto kama mtoto wake wa kike au shosti yake kabisa!
Ina maana Harmonize au Mbosso wameshindwa kuwa baba wa huyu mtoto?
Wasalaam....
The little man is just a kid.
Jitahidi kumtenganisha mtoto na drama za Mama yake.
Na ukiwa kama Mzazi/ Mzazi mtarajiwa jifundishe kuwa na control na mdomo wako when it comes to kids.
Unapowaombea wanao, waombee na watoto wengine Mwenyezi Mungu awaongoze na kuwalinda!
sijaona shida ya huyo mtoto kwasababu anamuonekano unaofanana, na mama ake na sio dhambi.....Anaweza akaja prove wrong watu humu ndani....anaweza kuja kuwa mtu mkubwa sana