Ni nani Baba wa Mtoto wa Odama?

Ni nani Baba wa Mtoto wa Odama?

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Hivi jamani nani aliyezaa na muigizaji Bongo movie, Jenifer kyaka aka Odama?

3226ee0e4fa804714e07df33c8149296.jpg
 
Heading, nikajua ndio unamtaja huyo baba
😀😀😀😀😀😀
warumi unanifurahisha sana kwenye hili jukwaa
 
Ila huyu Dada katulia hana skendo......nadhani hajazaa na mwanaume wa Dar
 
Back
Top Bottom