Ni nani Baba wa Mtoto wa Odama?

Ni nani Baba wa Mtoto wa Odama?

Binamu, ebu nipe umbea vzuri
Binamu mbona uko wazi huu kitambo na nyumba odama alijengewa kwa usimamizi wa vijana wa yule jamaa aloshindwa ubunge moshi mjini, yule tajiri wa malori na bureau de change kadhaa mjini ikiwamo ile ya ubungo plaza.
 
Kuna jamaa alikuwa anakuja jukwaa hili kulia lia kuachwa na huyu mwanamke na kwenda kwa mume wa mtu.. huyo jamaa sijui alipotelea wapi
 
Back
Top Bottom