Ni nani Baba wa Mtoto wa Odama?

Prince wa magogoni ambae humla mbunge mzuri wa dar kwenye gereza la segerea
 
Binamu, ebu nipe umbea vzuri
Binamu mbona uko wazi huu kitambo na nyumba odama alijengewa kwa usimamizi wa vijana wa yule jamaa aloshindwa ubunge moshi mjini, yule tajiri wa malori na bureau de change kadhaa mjini ikiwamo ile ya ubungo plaza.
 
Kuna jamaa alikuwa anakuja jukwaa hili kulia lia kuachwa na huyu mwanamke na kwenda kwa mume wa mtu.. huyo jamaa sijui alipotelea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…