Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
............Naapa kwamba sontatoa siri
Ee Mungu nisaidie.
It is not that simple! Kweye issue kama hizo Ushahidi unakuwa very blurry na Unaweza ukapoint different directions, Sasa Mtu huwezi kuimplicate watu na akuwaadhibu Bila Ushahidi Kukamilika. Mwaka 1983 Katika Jaribio la Uhaini, au Kumpindua Myerere Major General Silas Mayunga alishutumiwa au kwa kuandaa Uhaini au kwa kutoushitukia Uhaini, Lakini Mwalimu alimwondoa Nafasi yake na Kumpeleka Kwingine. Lingekuwa Ni hili Zuzu Sadist lingemfunga Mtu bila clarity na Lingezuia Dhamana!Kwa nn Nyerere aishie kulia tu badala ya "kuwashughulikia" waliomuua Sokoine kama aliwajua na uwezo alikuwa nao?
Faili hili halifungukiSomeni Pia File Hili Ukurasa wa 20-24 Zaidi sana uk wa 23
Kama unatumia simu Jaribu computer yenye PDF readerFaili hili halifunguki
Kiapo cha viongozi wetuHicho kiapo cha wapi?
Kiapo cha viongozi wetu
Kabla hawajaanza Kazi
Hivyo utunzaji wa siri ni mhimu
How do you know? huu ni utumbo?utumbo mtupu, hamna ulichoandika cha maana hapo
Hivi wewe Bulicheka wewe! Hujaona Ma-File niliyoambatanisha Kutoka CIA au Unajoin JF kwa Flip phone ya Kibandani!Vijana mumeishajifunza Propaganda pale Maktaba Square naona sasa mko field kufanya Propaganda ili muwe Propandist!.
Acheni stori za kutunga nyie!
uMwinyi Alikuwa Ni Mtu Mwenye Uwezo Mkubwa wa Administration, Lakini sio Kuongoza, Pia alikuwa ni Mtu Mwenye Roho njema sana na asiye na Makuu, Muugwana sana. Nyerere alipoachia Madaraka 1985 Alikuwa hana Uhakika Mambo yatakwendaje, Hivyo alimweka Mwinyi Kwa Kipindi cha Majaribio akijua wazi endapo yakizuka Matatizo Makubwa, as a result ya yeye, Nyerere, kuondoka, Basi Mwinyi asingeona Kinyongo kama ingemlazimu Nyerere Kumwambia aondoke, Kisha au Arudi yeye Mwenyewe Madarakani na Msimamo Mpya au Amweke Mwingine. Ikumbukwe huko Nyuma Nyerere alishafanya hivyo Kwa Kumwachia Kawawa Uwaziri Mkuu! Na Kisha akarudi tena. Hiyo sio Tathmini yangu bali ni Tathmini ya hao Warefu! Je Mnakumbuka Miaka ya 1994 Nyerere alisema wazi Kuwa Mwinyi hakuwa Chaguo Langu!
In short Inawezekana Wengi waimsingizia Mwinyi Mengi, Tatizo Kubwa La Utawala wa Mwinyi ilikuwa ni Rushwa ndicho alicholalamikia Nyerere. Lakini Nyerere hakuwa na Mpango wa Kung'atuka, alilazimika kufanya hivyo kwa Wimbi la Kuanguka kwa Socialism na Communism Dunia Nzima. Na hali ya U humi ilikuwa mbaya sana kiuchumi na soon Viashiria Vilionyesha kuwa hata Kiusalama angepitiliza 1985 ingekuwa ni hatari sana kwake labda abadilishe Msimamo kuhusu ujamaa, Mwalimu hakuwa Tayari kurudi nyuma, Alisema Akigeuka nyuma atakuwa Jiwe! ( Hii ni Falsafa Nyerere aliyokuwa ameiikopa kutoka kwa Adolf Hittler. Soma Kitabu cha Hittler Mein Kampf au My Straggle kwa English) Hittler alisema Ukiwaongoza watu Direction Fulani kisha ukagundua ulikosea au umeshidwa, basi watakuwa ni wajinga sana kama ukiwaambia turudi nyuma au twende upande mwingine niliwakosesha, Hittler akasema Kiongozi ukifanya hivyo na Watu wakamufuata Tena, basi jnatakiwa uwashangae sana! Ila kama imebidi kubadilisha mwelekeo basi Kiongozi Thabiti ni Lazima akae pembeni na aruhusu mwingine kuchukua Usukani.u
Nyerere alijuta kumwachia mwing nchi baada ya kuvurunda na kuanzisha makundi ya udini ikiwemo pamoja na kuasisi mitandao ya madawa ya kulevya iliyoshamiri kipindi chake kama uyoga. Unachokisema upole kinaweza kuwa uzembe!.
Wakati wa nyerer Watanzania waliheshimika dunia nzima. Mara nyingine hata airports za kimataifa tulipita bila kukaguliwa kwa sana lakini baada ya vimbwanga vya mwiny kila mahala ukisema ni Mtz, unaangaliwa kw macho mawili mawili yenye mashaka.
Nyerere aliyashuhudia mikutano ya kidini isiyo na uhusiano na serikla iikifanyika ikul. Nani asiyejua jins huyu mzee alivyoifanya tz? Nyerere aliumia akasema anajuata kumpa huyu nchi.
Siyo kwamba laitaka kurudi mwenyew. N amktu akijuta haina maana anataka afanyeyeye.
Wenye dini ya matusi na mapanga, kazi kwenu.