Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Nenda kwenye Makao makuu YaoUshahidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwenye Makao makuu YaoUshahidi
FAIDA Fund chini ya Wizara ya Utumishi ndio sahihi kwa wenye pesa ndogo.Mfuko huu unawapa fursa wale wote ambao aidha wana pesa kidogo ....
Kwa ni Serikali au watu binafsi?UTT AMIS history started from the Unit Trust of Tanzania (UTT). UTT was established under the Trustee Incorporation Act, Cap 318 and was vested with the several key activities including the development of collective investment schemes; acquiring and keeping in trust the shares of privatized enterprises and encouraging savings culture through wide participation in the ownership of distributed shares / units. UTT wa very successful in launching unit trust schemes since five collective investment schemes were launched attracting over 90,000 investors from all over the country.
Over time UTT grew in size with total funds under management of over TZS 120 billion as at 30 June 2013 and futherdiversified into other activities in Projects Management and Microfinance businesses. Based on advice of stakeholders and the Treasury Registrar and approval of the Minister of Finance, the Unit Trust of Tanzania (UTT) was restructured into three organizations. The objective of the restructuring was to enable each of the key businesses to focus on their activities and services so as to contribute more to increasing of government revenue and promote development of the country.
The three organizations that resulted from the restructuring exercise, registered under the companies Act, 2002, include UTT Asset Management and Investor Services (UTT AMIS), UTT Microfinance (UTT MFI) and UTT Projects and Infrastructure Development (UTT PID). PID and UTT MFI became operational on 1st July 2013 while UTT AMIS was re-assigned with the management of collective investment schemes from 1st October 2013.
UTT AMIS having the track record from UTT has been awarded the Best Fund Team in Tanzania for Year 2015 by the Capital Finance International of UK.
Read to understand. Kama una elewa kitu tofauti na hapo kiweke hapaKwa ni Serikali au watu binafsi?
Huyu mzushi Nehemia Kilave kaamka na pombe za jana. Anatupotezea muda tu na MBs zetuUTT AMIS ni Taasisi ya Serikali kwa asilimia 100 na ipo chini ya Wizara ya Fedha. Ilianzishwa baada ya utekelezaji wa Sera za Ubinafsishaji. Baada ya Serikali kubinafsisha mashirika yake katika awamu ya 3 zilipatikana fedha kiasi kadhaa na hivyo serikali ikaona izirejeshe kwa wananchi ili wafaifi matunda ya ubinafsishaji. Hivyo ikaja na mpango huu wa skimu za uwekezaji wa mutual funds baada ya kufanya study nchini India.
Kulikuwa na Mfuko unaojulikana kama Privatization Fund ndipo ikaundwa Unit Trust of Tanzania (UTT) ambapo baada ya kuundwa kama mjumbe mmoja alivyopost kuundwa kwake hapo juu. Wananchi walitangaziwa kununua vipande (shares) na kukawepo na mpango wa motisha ambapo kwa wakati ule inaanzishwa ulikuwa ukinunu kipande cha shilingi 100 Serikali inakupa shilingi 30 katika kipande hicho. Maana yake kama ulinunua vipande vya 700,000 ulikuwa unahesabika kwamba una vipande vya 1,000,000. Baada ya kuuza hivyo vipande ndipo wakaanza kuwekeza kwenye masoko yasiyokuwa na hatari ya kupotea kwa fedha mfano mabenki na benki kuu.
Kama una wasiwasi kwamba UTT AMIS siyo Taasisi ya Serikali unaweza kuverify kwa kwenda UTT ili wakupe documents za usajili, BRELA ambao watakupatia documents za usajili na CMSA ambao ni Mamlaka ya Uangalizi na Usimamizi wa Masoko ya Mitaji, Wizara ya Fedha amabo ni Wizara mama na DSE ambao ni soko la ununuaji na uuzaji wa hisa za makampuni mbalimbali.
Siyo kweli. Sasa hivi kila kitu digital. Unanunua vipande kwenye mobile money platforms na unatoa pesa kupitia same mobile platforms. Kwa Vodacom ni *150*82# halafu unaendelea.WEKEZA UTT ILA KUTOA PESA HIYO UTAKOMA LEO MWEZI SIJAONA CHOCHOTE.KWA KUPOKEA SIMU NI WAGUMU.
UTT NI MR KUKU PRO MAX
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makapuku wajuaji wengi sana humu.You was naked?[emoji24][emoji24][emoji24]
Mara paap utasikia zimechotwa na kufanyiwa mambo mengine kama mifuko ya hifadhi ya jamii inavyochotwaga[emoji2]UTT AMIS ni Taasisi ya Serikali kwa asilimia 100 na ipo chini ya Wizara ya Fedha. Ilianzishwa baada ya utekelezaji wa Sera za Ubinafsishaji. Baada ya Serikali kubinafsisha mashirika yake katika awamu ya 3 zilipatikana fedha kiasi kadhaa na hivyo serikali ikaona izirejeshe kwa wananchi ili wafaidi matunda ya ubinafsishaji. Hivyo ikaja na mpango huu wa skimu za uwekezaji wa mutual funds baada ya kufanya study nchini India.
Kulikuwa na Mfuko unaojulikana kama Privatization Fund uliokuwa unatumika kuhifadhi fedha za ubinafsishaji, ndipo baadae ikaundwa Unit Trust of Tanzania (UTT) ambapo baada ya kuundwa kama mjumbe mmoja alivyopost ushahidi wa kuundwa kwake hapo juu , Wananchi walitangaziwa kununua vipande (shares) na kukawepo na mpango wa motisha ambapo kwa wakati ule inaanzishwa ulikuwa ukinunu kipande cha shilingi 100 Serikali inakupa shilingi 30 katika kipande hicho. Maana yake kama ulinunua vipande vya 700,000 ulikuwa unahesabika kwamba una vipande vya 1,000,000. Lengo hapo ilikuwa ni kuwafaidisha wananchi wanaowekeza kupata matunda ya ubinafsishaji wa mashirika ya umma. Baada ya kuuza hivyo vipande ndipo wakaanza kuwekeza kwenye masoko yasiyokuwa na hatari ya kupotea kwa fedha mfano mabenki na benki kuu.
Kama una wasiwasi kwamba UTT AMIS siyo Taasisi ya Serikali unaweza kuverify kwa kwenda UTT ili wakupe documents za usajili, BRELA ambao watakupatia documents za usajili na CMSA ambao ni Mamlaka ya Uangalizi na Usimamizi wa Masoko ya Mitaji, Wizara ya Fedha amabo ni Wizara mama na DSE ambao ni soko la ununuaji na uuzaji wa hisa za makampuni mbalimbali.
Nimeandika haraka ila ninatumaini mtoa mada atakuwa ameelewa. Ila kama kila kitu utataka kuona ushahidi kama tomaso itakuwa ni shida sana.
Hioondioositakikusikia kabisa nduguMara paap utasikia zimechotwa na kufanyiwa mambo mengine kama mifuko ya hifadhi ya jamii inavyochotwaga[emoji2]
Haha nimewahi kuwaza na kuogopa hilo. Maana thithiem hawatabiriki. Maana nami nimewekeza huko muda mrefu tu. Napata gawio bila shida.Mara paap utasikia zimechotwa na kufanyiwa mambo mengine kama mifuko ya hifadhi ya jamii inavyochotwaga[emoji2]
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaNaomba nijibiwe kwa ushahidi sio hearsay
Kula Chuma hio😅😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makapuku wajuaji wengi sana humu.