Atakuwa ana mtu maalumu kwa kazi hiyo
Ile ni ID ya ofisi, kuna watu wanalipa mshahara, kodi na makato ya mifuko ya kijamii kwaajili ya hiyo ID.Atakuwa ana mtu maalumu kwa kazi hiyo
Haviendan kivipi fafanua!?
Kweli kabisakweli aise maana yule ni mtu mzima sasa ukiangalia anachokiandika, Lugha anayotumia utadhani Mtoto Wa miaka kumi na tano
Ile ni ID ya ofisi, kuna watu wanalipa mshahara, kodi na makato ya mifuko ya kijamii kwaajili ya hiyo ID.
Ile ni ID ya ofisi, kuna watu wanalipa mshahara, kodi na makato ya mifuko ya kijamii kwaajili ya hiyo ID.
Huyo ni Babu Tale.Kwa hapo naweza kukubaliana na wewe kwa asilimia kidogo! kwa hiyo mama Dangote amefungua ofisi na ameajiri mtu/watu kwa ajili ya kuendesha akaunti zake kwenye mitandao?
Ukiona unamfuatilia ujue unamzimia maana wengine hata hatujuhi account yake
Vp unataka hyo kaz
Mwanaume mzima unafuatillia mambo ya wanawakeHauna hoja! umendika ugoro tu
Sasa mama yake Diamond wewe unahitaji habari zipi kutoka kwake?Nimekuwa nikiangalia mambo yanayopositiwa kwenye ukurasa Wa instagram Wa Mama Diamond pamoja na Lugha inayotumika haviendani na Mama huyu hasa kwa umri wake!!! Sasa huwa najiuliza ni nani anayemsaidia kupost vitu au ni kama yeye ana akaunti ya insta, lakini inatumiwa na watoto wake?
Instagram Anatumia jina LA Mama Dangote
Sasa mama yake Diamond wewe unahitaji habari zipi kutoka kwake?
Huu ni ujinga 100% msanii ni Diamond na siyo mama yake, wewe mama yake ana lipi la maana kwako? Upumbavu huu.
Ni upumbavu tu poor IQ, mimi mama yake Diamond au Ali Kiba atanisaidia nini au niwe na interest naye ya nini?Umeongea point sana yaani mtoa mada sijui ni mtu wa aina gani. Ndio wale wanaume wanaoshindia kufuatilia maisha ya watu instagram. Tatizo la ajira ni bomu kubwa sana nchini
Ni upumbavu tu poor IQ, mimi mama yake Diamond au Ali Kiba atanisaidia nini au niwe na interest naye ya nini?
Kama ni burudani nampenda ya msanii na mzazi has nothing to offer me.
Mtu anayepaswa kuwa interested na mama yake Diamond ni Zari hawara wa Diamond na yule hawara mwingine aliyezaa naye sijui ni dancer i don't even know her name.
Tanzania imejaa vijana wapuuzi sana, ukiwaeleza ukweli watakwambia hili ni jukwaa la celeb haya sasa huyo mama yake Diamond ni Celeb wa nini?
Diamond namsamehe kwa sababu back ground yake inajurikana alikosa shule huyu ni wa kumsamehe bure na ndio watu tujifunze umuhimu wa shule, tupeleke watoto shule, shule si maana yake baadaye uje kuwa mkurugenzi hapana bali shule ndio sehemu ya kushape maisha.