Ni upumbavu tu poor IQ, mimi mama yake Diamond au Ali Kiba atanisaidia nini au niwe na interest naye ya nini?
Kama ni burudani nampenda ya msanii na mzazi has nothing to offer me.
Mtu anayepaswa kuwa interested na mama yake Diamond ni Zari hawara wa Diamond na yule hawara mwingine aliyezaa naye sijui ni dancer i don't even know her name.
Tanzania imejaa vijana wapuuzi sana, ukiwaeleza ukweli watakwambia hili ni jukwaa la celeb haya sasa huyo mama yake Diamond ni Celeb wa nini?
Diamond namsamehe kwa sababu back ground yake inajurikana alikosa shule huyu ni wa kumsamehe bure na ndio watu tujifunze umuhimu wa shule, tupeleke watoto shule, shule si maana yake baadaye uje kuwa mkurugenzi hapana bali shule ndio sehemu ya kushape maisha.