Ni nani huwa anamsaidia Mama Diamond kuposit Vitu instagram

yule ni mtu mzima sasa ukiangalia anachokiandika, Lugha anayotumia utadhani Mtoto Wa miaka kumi na tano
Ungeweka na uthibitisho wa post inayokusikitisha zaid ndo ingekuwa poa sana tujadili kitu tunachokiona ila maneno matupu tunaona ww ndo pumba sasa
 
Hivi una habari Le Mutuz ni mkubwa kuliko Mama Chibu?!

Ulishawahi kukutana na marehemu mzee Sykes, baba yake Dully?!

What about Mzee Zahir?!

Au mama yake Wema Sepetu je?!

Vipi kuhusu Bi Hindu au Bi Chau?

Usilinganishe akina mama wa Mpindimbi na akina mama wa mjini!!!!
 
ungejua account ya tiffa dangote anaepost ni nani ungeelewa?

diamond na WCB wanajua power ya social networks kwenye biashara yao ya mziki... sasa wametengeneza account nyingi ambazo zinatumika kuwaweka karibu na mashabiki wao.. mojawapo ni ya mama diamond.

nilivyosikia kuna mdada yupo wcb pale ni receptionist ndio anaziongoza account nyingi za WCB ikiwemo mama dangote.. yeye anatumiwa picha tu na mama.. yeye anapost anayoona inafaa kuwapa raha mashabiki


Kwa hapo naweza kukubaliana na wewe kwa asilimia kidogo! kwa hiyo mama Dangote amefungua ofisi na ameajiri mtu/watu kwa ajili ya kuendesha akaunti zake kwenye mitandao?
 
Insantagram!!!! Duh. Utakuwa mluga luga WA chato
 
Kubali tu, weee na huyo mama, kuna kitu mmefanana!
 
Unasema anayoposti hayaendani na umri wake kwani wewe umri wako unaendana na umri wake kwendraaaaaaaaaaaa
 
Ukimaliza ulizia na acc ya Nillan ni nani anapost maana post zake ni za kikubwa sana kuliko thread hii.
 
[emoji106]
 
Oh oo oo!!!naona umedadavua uzuri.
 
picha ya anachopost na hayo maneno..wengine hatupo instagram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…