Ni nani huyu anayesema Alaa! Katika Tangazo la Fiesta Clouds Fm

Huyu jamaa ameingiza hiki kionjo cha "Alaa!" katika tangazo la Fiesta linalorushwa na kituo cha redio cha Clouds Fm na kufanya tangazo linoge. Je huyo jamaa ni nani?
Alaaa hahaaa sawa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…