hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Alaaa hahaaa sawa sawaHuyu jamaa ameingiza hiki kionjo cha "Alaa!" katika tangazo la Fiesta linalorushwa na kituo cha redio cha Clouds Fm na kufanya tangazo linoge. Je huyo jamaa ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alaaa hahaaa sawa sawaHuyu jamaa ameingiza hiki kionjo cha "Alaa!" katika tangazo la Fiesta linalorushwa na kituo cha redio cha Clouds Fm na kufanya tangazo linoge. Je huyo jamaa ni nani?
Yule ni Kennedy the remedy ..Na yule anaesema
ARE WE YOU?
ARE YOU WE?
IS. TBL. YOU?
ni nani?