Ni nani huyu: Jumanne Miraji Simba

Ni nani huyu: Jumanne Miraji Simba

Ramos

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2010
Posts
498
Reaction score
130
Wakuu, kama kuna mtu yeyote independent mwenye interest ya kuchunguza suala la Kibanda na la video ya Rwakatare, amchunguze huyu mtu... Kwaherini
 
Jumanne Miraji Simba ni nani? Kwa yeyote mwenye internet imara atudadavulie japo kidogo kumuhusu ....
 
Tunataka tumfaham ila huyu si ni mtoto wa mwenyekiti wa zamani wa AFC Arusha Miraji Simba 'MAPESA'?
 
Hints ninazoziona facebook zinaonyesha kwao ni Temeke, ila kwa sasa yuko Uturuki...
 
Hints nyingine facebook zinaonyesha kuwa ana share picha, habari na matukio na Ridhiwani Kikwete, Steven Massele na members wengine wa UVCCM... na CCM kwa ujumla...
 
Huyu mtu kwa upande wa fb anaonekana marafiki zake ni Lowasa, Bashe, Kigwangala, Jerry Slaa na wngineo
 
Sio bure, kwanini mtoa mada hakumtaja mtu mwingine? mkisubiri polisi ndo wamchunguze, tutakesha.Idara ya usalama CDM chkueni jukumu
 
Huyu mtu kwa upande wa fb anaonekana marafiki zake ni Lowasa, Bashe, Kigwangala, Jerry Slaa na wngineo
Yaani ni rafiki wa Bashe, halafu hapo hapo ni rafiki wa Kigwangala! He he heee! Wazee wa kushikiana bastola! Ngoja mi ni.logout, hapa unaweza ukatembelewa na wazee, halafu nyumba ikapekuliwa! Kwa herini
 
Kuna jambo maana mleta jina mwenyewe kala kona.
Kuna jambo muhimu hapa
 
jeshi lapolisi linategemea sana JF. Kova, Mwema, Kamata huyo kwa mahojiano na upekuzi mara tatu nyumani kwake. Pia suala la Kumkamata lisihusishwe na CCM. Ok?
 
Nyie mna wivu mtu hata kama akipokonywa demu na mtu akija na kumpost humu basi anahusika na upumbavu wa njama sio.....insu ni vipi lwakatale kakipaka matope chama chetu pendwa insu sio jumanne simba.
 
Huyu mtu inaonekana kabisa ni mtu wa system na ni mtu wa kujua vizuri. Tell me your friend I will tell you who you are. Anaonekana ni mtu mwenye jambo. There is something very fishy here!!
 
388072_10151808895120931_694429101_n.jpg


Jumanne Miraji SimbaAdd Friend

Contact Information




[TABLE="class: uiInfoTable mts profileInfoTable uiInfoTableFixed"]
[TR]
[TH="class: label"]Facebook[/TH]
[TD="class: data"]http://facebook.com/jumanne.simba[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Activities and interests




[TABLE="class: uiInfoTable mts profileInfoTable uiInfoTableFixed"]
[TR]
[TH="class: label"]Other[/TH]
[TD="class: data"]Jakaya Kikwete, Tanzania, Muslimahs Paradise, Strategic Marketing & Design, Malcom X, Watanzania Mashuhuri, Chama Cha Mapinduzi, U.V.C.C.M Chipukizi Taifa, Nelson Mandela, josef islam[/TD]
[TD="class: rightCol"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Huyu aliyetaja hili jina hapa si kichaa...anachofanya anapeleka meseji kwa wahusika kwamba mambo mliyoyafanya yako hadharani si kificho kama mnavyodhani tayari kuna watu mavi yanagonga pichu kwa hili.Unajua hata mkishakuwa watu 2 na kuendelea kupanga inshu kamwe usije ukafikiri ni siri..!
 
Nyie mna wivu mtu hata kama akipokonywa demu na mtu akija na kumpost humu basi anahusika na upumbavu wa njama sio.....insu ni vipi lwakatale kakipaka matope chama chetu pendwa insu sio jumanne simba.
siyo hivyo mkuu wangu,inawezekana mleta mada ana hint moja muhimu sana,ukichukulia kwamba ndugu yetu Membe ametuhumiwa,yawezakana sasa anawatafuta wahusika.
 
Back
Top Bottom