Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,962
- 721
Upungufu wa wataalamu ya Cyber crimes Tanzania inasababisha wahuni wachache kufanya cyber crimes bila kufikishwa mbele ya sheria. Vyombo vya usalama pamoja na sheria pia navyo vimeingiliwa na hawa wahuni, sasa watu wakimbilie wapi? Digital Forensic ingeweza kuwaumbua wahusika wote hatua kwa hatua. Siku yaja.