Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,962
- 721
siyo hivyo mkuu wangu,inawezekana mleta mada ana hint moja muhimu sana,ukichukulia kwamba ndugu yetu Membe ametuhumiwa,yawezakana sasa anawatafuta wahusika.
Jumanne
Miraji
SimbaAdd
Friend
Contact Information
[TABLE="class: uiInfoTable mts profileInfoTable uiInfoTableFixed"]
[TR]
[TH="class: label"]Facebook[/TH]
[TD="class:
data"]http://facebook.com/jumanne.simba[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Activities
and interests
[TABLE="class: uiInfoTable mts profileInfoTable uiInfoTableFixed"]
[TR]
[TH="class: label"]Other[/TH]
[TD="class: data"]Jakaya
Kikwete,
Tanzania,
Muslimahs
Paradise,
Strategic
Marketing & Design,
Malcom
X, Watanzania
Mashuhuri, Chama Cha
Mapinduzi,
U.V.C.C.M
Chipukizi Taifa,
Nelson
Mandela, josef
islam[/TD]
[TD="class: rightCol"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Wakuu, kama kuna mtu yeyote
independent mwenye interest ya kuchunguza suala la Kibanda na la video
ya Rwakatare, amchunguze huyu mtu... Kwaherini
Hii ishu ya kibanda itapita kama ilivyopita ya Ulimboka... Always nasemaga kama sisi vijana tutashindwa kuingia mtaani na kuwatoa CCM kwa nguvu, tukabakia kupiga makelele huyu, hakuna tunachokifanya....
Vijana tubadilike, vinginevyo itaendelea kula kwetu pamoja na kupiga makelele yetu, mwisho wa siku tutaonekana wehu tu.....