Ni nani huyu - Mwanamboka?

Ni nani huyu - Mwanamboka?

Je mtoto wake ndo huyu hadija mwanamboka wa kinondoni block 41?
 
Mmiliki wa mwanamboka ni Salum Saad Said Ally. huyu Saad said Ally ni mtoto wa huyu Salum Saad.Khadija mwanamboka na Nassoro ni watoto wa kaka yake Salum Saad Ally Ambae anaitwa Said Saad Ally.
 
Marehemu Mzee Mtemvu,Bibi Titi,Mzee Sarwat hawakuwahi kupatiwa NISHANI na walikuwa na mchango wao katika taifa letu..hivi ni kwa nini sasa hivi michango yao isitambulike na wakapewa Nishani zilizo tukuka..??
 
Mwanamboka na tela lake, nakumbuka mbali sana, dada yangu alikuwa amanibeba kwenda barabarani kuangalia Mwanamboka. Kitambo sana
 
Back
Top Bottom