We jamaa umenifanya kitu mbaya sana nilikua kwenye kikao boss anazungumza nikacheka kwa sauti mpaka akaniambia j3 nimwone ofisini kwake itabidi nipeleke hii comment yako kama utetezinaye mhariri wa gazeti la Frankurt algamain tsaitung anasema kuwa "MAPENZI PESA, UFUNDI PELEKA VETA"
Ile hali mhariri wa Baarin Tsaitung yeye ametanabaisha umma kwa kichwa kikubwa cha habari kinachosomeka "FANYA HIMA NIKUPE ANACHOKUNYIMA"
Na huo ndio mwisho wa udondozi wa Magazeti kutoka hapa Ujerumani mjini Booooooonna
We jamaa umenifanya kitu mbaya sana nilikua kwenye kikao boss anazungumza nikacheka kwa sauti mpaka akaniambia j3 nimwone ofisini kwake itabidi nipeleke hii comment yako kama utetezi
Hahahahahasauti ya huyu mmama huyu inanitisha sana hasa pale anapotangaza habari za korea kaskazini.
Mzungu nadhan alikua ni Premer Martin.Mimi huyu mama nilijua mzungu anaekifahamu vema kiswahili yaani nimefulai kumjua ,
Ha ha ha ha ha.Matangazaji wakoooo ni uuumunnni kheiryyyyyyyy....Ghazaaaa...waandamanajiii wa kipalestinaaa wamemwagika majiani kupiga kadhia ya mabomu yanayoporomoshwa kutoka israeliiii... Wakati huuo huoooo kundi la kigaidi la twalibaaaani limefanya shambiliziii la kujitoa muhangaaa huko kabuuurouuuu..Fuko la fedha la dunia limesitisha msaadaaa wake katika kuokoa uchumii wa uturukiii unaolekea shimoniiii... Hizi ni habari za mchana kutoka aaa boooooniiiiiii
Kama yanachosha,kile mtu alichonacho kingewekwa na kuelimisha wengine. So kama wewe huna,hupaswi kuwajibia wenzako. Kausha na piga kimya,nayo ni maarifa kukaa kimya kama huna cha kutoka katika yale yaliyoombwa.Hujui kuomba unajuwa kuchosha, hata mfanyakazi wa Tbc ungempa maombi yote hayo angeacha kabisa.