Ni nani huyu Oumilkheir wa DW!!?

Ni nani huyu Oumilkheir wa DW!!?

naye mhariri wa gazeti la Frankurt algamain tsaitung anasema kuwa "MAPENZI PESA, UFUNDI PELEKA VETA"

Ile hali mhariri wa Baarin Tsaitung yeye ametanabaisha umma kwa kichwa kikubwa cha habari kinachosomeka "FANYA HIMA NIKUPE ANACHOKUNYIMA"

Na huo ndio mwisho wa udondozi wa Magazeti kutoka hapa Ujerumani mjini Booooooonna
We jamaa umenifanya kitu mbaya sana nilikua kwenye kikao boss anazungumza nikacheka kwa sauti mpaka akaniambia j3 nimwone ofisini kwake itabidi nipeleke hii comment yako kama utetezi
 
We jamaa umenifanya kitu mbaya sana nilikua kwenye kikao boss anazungumza nikacheka kwa sauti mpaka akaniambia j3 nimwone ofisini kwake itabidi nipeleke hii comment yako kama utetezi

ofisi gani hyo mnayofanya kikao huku mnaperuz jf?
 
Duru zinasema bi. Angela merckel atakutana na mfalme ktk kasri lake huko arabuni...hahaa cjawah kusikia huyu mama atangaze bila kutaja hilo jina analipenda balaa anza kufuatilia utaishia kucheka tu...
 
sauti ya huyu mmama huyu inanitisha sana hasa pale anapotangaza habari za korea kaskazini.
 
Matangazaji wakoooo ni uuumunnni kheiryyyyyyyy....Ghazaaaa...waandamanajiii wa kipalestinaaa wamemwagika majiani kupiga kadhia ya mabomu yanayoporomoshwa kutoka israeliiii... Wakati huuo huoooo kundi la kigaidi la twalibaaaani limefanya shambiliziii la kujitoa muhangaaa huko kabuuurouuuu..Fuko la fedha la dunia limesitisha msaadaaa wake katika kuokoa uchumii wa uturukiii unaolekea shimoniiii... Hizi ni habari za mchana kutoka aaa boooooniiiiiii
Ha ha ha ha ha.
Utamsikia anamalizia:

Na mwisho ni Baghdad. Rais wa Iraq Saddam Husein jana alikutana na katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Koffi Annan.

Wakati huo huo Tariq Aziz amekutana na Donald Rumsfield kuhusu kadhia ya silaha za Maangamizi,mwisho wa habari kutoka Booon.

Zamani walikua hawataji sana neno DW,bali walipendelea kuita BOOOON au BERLIN.
Hivi Muhammad Ahman ni Mtanzania?
Na Mzee Abdul Raheem Kataaan tupo wapi siku hizi? Huyo nae alikua ni kiboko.
 
Hujui kuomba unajuwa kuchosha, hata mfanyakazi wa Tbc ungempa maombi yote hayo angeacha kabisa.
Kama yanachosha,kile mtu alichonacho kingewekwa na kuelimisha wengine. So kama wewe huna,hupaswi kuwajibia wenzako. Kausha na piga kimya,nayo ni maarifa kukaa kimya kama huna cha kutoka katika yale yaliyoombwa.
 
Back
Top Bottom