Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

A
AKAYESU jina maarufu taifa jirani mbona
 
Maisha hayana formula naona mwamba sahv kawa top
Ila mwamba katoka mbali sana
Na leo hii hapo alipo,kwa wanaomjuwa watakuwa wanajuwa

Ova
Ndiyo inavokuwa huwezi kuanzia juu kama huna mizizi ya maana chini kaka. Miye anipe tuu mchongo nitulie nimechoka nwenzie ajue mtoto wa Mo city mwenzie. Nipe connection nimechoka.
 
Tatizo lake jamaa ana taka kuwa star wa shoo... angebakia kuwa underground... sasa anavyozidi kuwa kwenye spotlight ndio anazidi kujiharibia... a brotherly advice
Kila mtu aishi maisha yake jinsi atakavyo
Nyie ndio mnawaambiaga watu wakifanikiwa wasi post mafanikio.

Kifupi HATUWEZI FANANA MITAZAMO.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Bw. Waziri Rajab Salum Msaidizi wa rais Ofisi Binafsi ya Rais (OBR)

Kama ilivyokuwa kwa Bw. Nguza Samike katibu binafsi wa Rais John Magufuli na sasa tuna Bw. Waziri Rajab Salum katibu binafsi wa Rais Samia Hassan.
 
Ukitaka sifa andika kabaka ng'ombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…