Ni Nani Jerry Muro?

Ni Nani Jerry Muro?

Naomba vuta subira, nitakuletea graduation yake.
P.
Haa haa haa. PhD za kwenye makaratasi zimekuwa ndiyo fashion ya Bongo. Kila mtu anajaribu kwa kadri ya uwezo wake ili jina lake litanguliwe na Dr kwa mbele. Ukiangalia matendo ya ma-dr wenyewe sasa.... hata mkulima wa kijijini wa darasa la saba la enzi za mkoloni na nafuu.
 
Naomba vuta subira, nitakuletea graduation yake.
P.
Sawa boss nakusubiri..maana nimebaki najiuliza amepataje Diploma ya utangazaji na huku ana certificate ya Uandishi wa habari?.. Na uelewa wangu Mdogo ninajua utangazaji ni fani ndani ya taaluma ya habari. Hebu nifafanulie MTU anaweza kuwa mtangazaji pekee yake bila kusomea mambo ya Habari?? Je! Kuna vyuo vinafundisha tu kozi ya utangazaji kuanzia ngazi ya cheti hadi PhD????
 
Kwenye fani ya uandishi wa habari, kuna certificates, advanced certificates, diplomas, advanced diplomas na degrees zifuatazo
  1. Journalism
  2. Radio Broadcasting
  3. TV Broadcasting
  4. Photography
  5. Videography
  6. Production
  7. Mass Communication
  8. Public Relations
  9. Cinematography
  10. Marketing
Mtu unaweza kuwa na certificate of Journalism, Diploma of Broadcasting, Degree of Broadcasting, Postgraduate of PR, Masters of Mass Communications, na Ph.D of Cinematography.

P.
 
Jerry ni msomi wa chuo kikuu cha DSM kiwango cha shahada ya uzamili na sasa anafanya uzamivu, pia ana astashahada ya uandishi wa habari na stashahada ya utangazaji.

Kwa kifupi ana
  1. Astashahada
  2. Stashahada
  3. Shahada
  4. Shahada ya Uzamili
  5. Shahada ya Uzamivu.
P.
Mbali na kusoma kote huku bado ni big headed tu

Anaongea kama mtu aliekatwa kichwa
 
Certificate in Journalism, Diploma in Broadcasting, Degree in Broadcasting, Postgraduate in PR, Masters in Mass Communications, na Ph.D in Cinematography?
 
Back
Top Bottom