Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
DUNIA sasa iko kasi, nchi kama Rwanda inawaza kujitanua kiuchumi na kijiografia, Wazungu watu wenye akili wanawaza kujiimarisha kiuchumi kwa kupata rasilimali toka mataifa mbalimbali, nchi za Asia nazo wanawaza namna ya kuvuna rasilimali toka kwenye mataifa ya wajinga.
Sisi Tanzania mpaka sasa tuko busy kulinda kiti cha Rais.
Kagame anawapa pesa wananchi wake wanakuja kulangua madini Tanzania serikali iko busy na wapinzani.
Wachina wanajizolea madini serikali iko busy na kesi ya Lissu.
Adui yetu alipaswa kuwa mmoja tu . Shetani ametufarakanisha sasa hatumuoni adui yetu halisi tunagombana wenyewe.
Nani kaliroga hili Taifa?