Talented Land
Senior Member
- Feb 4, 2016
- 157
- 135
Typing error kama kuna mwingine mwongezeHahahahaaa mkuu ovagado ndio nani huyo?
Au umemaanisha Avogadro?
Je Galilei Galileo si Ndio alikuwa role model wa Newton sasa vipi Newton na sio Galilei ?Physics ipi?
Theoretical au applied?
Kama ni applied,applied physics haiend bila ya Calculus ambayo baba ake ni Sir Newton
Dah mkuu wapo wengi sana kaka huwezi kuwamaliza wote, ninao wakumbuka fasta fasta niTyping error kama kuna mwingine mwongeze
Kwani sisi tunasoma modern?uliyeandaa post sjui kama umesoma physics,kuna classical physics na modern physics,huwez kusifia modern physics bila kuacknwoledge legends of classical physics
Nilicho maanisha ni when it comes to apply physics mfano kweny engineering,calculus ndo inatawala apo,na hapo ndipo ugumu wa physics ulipo na swal lako limeuliza nan aliechangia zaid physics kuwa ngumu nme m acknowledge Newton kwa kuwa kati ya hao yey ndo anaengia kama mmoj wa mababa wa CalculusJe Galilei Galileo si Ndio alikuwa role model wa Newton sasa vipi Newton na sio Galilei ?
Alafu mkuu, hawa wanasayansi sio kwamba ndio wameleta na kufanya vitu viwe vigumu, hawa ndio wamerahisisha mambo hadi leo hii tunauwezo wa kusoma zaidi ya topic tano kwenye kitabu kimoja,Wanajamii habari zenu
Ninauhakika kuna wanajukwaa wamewahi kusoma physics ambalo ni two in one yaani literature (laws and define) na mathematics (calculations ),zote hizo zimeundwa na wanasayansi wenye vipaji asilia ili zisomwe na watu wa kawaida je Kati ya hawa Nani alileta vitu complicated (vigumu kupanda)
Isaac Newton
Michael Faraday
Galilei Galileo
Archimedes
Ovagador
Last genius of the century (Albert Einstein)
nmeshatambua kumbe najadili na mijitu ya mulugo productKwani sisi tunasoma modern?
Mijitu ya mulugo wakina Nani sema we ulichosoma sasa hivi kimefutwa halafu mulugo sio tena naibu vilevile Hana Mijitu we vipi bhananmeshatambua kumbe najadili na mijitu ya mulugo product
Most of the hypothesis, formula na hata laws nyingi za modern msingi wake mkuu ni classical, huwezi ukasema umemaster modern kama huna idea yyte juu ya classical.uliyeandaa post sjui kama umesoma physics,kuna classical physics na modern physics,huwez kusifia modern physics bila kuacknwoledge legends of classical physics
uliyeandaa post sjui kama umesoma physics,kuna classical physics na modern physics,huwez kusifia modern physics bila kuacknwoledge legends of classical physics
Upo form ngapi? Au kama university unasomea nini? Hii inaweza kusaidia kujua tuanzie wapi kujadili.Kwani sisi tunasoma modern?
Upo kidato cha ngapi?Newton motion in straight line na Galilei motion under gravity vilevile universal yake hadi spring watch
Non of them, they rather made Physics simple and user friendly to understand what and how nature works !!!Wanajamii habari zenu
Ninauhakika kuna wanajukwaa wamewahi kusoma physics ambalo ni two in one yaani literature (laws and define) na mathematics (calculations ),zote hizo zimeundwa na wanasayansi wenye vipaji asilia ili zisomwe na watu wa kawaida je Kati ya hawa Nani alileta vitu complicated (vigumu kupanda)
Isaac Newton
Michael Faraday
Galilei Galileo
Archimedes
Ovagador
Last genius of the century (Albert Einstein)
huyu yupo form 3 kujadiliana nae unajichosha tunmeshatambua kumbe najadili na mijitu ya mulugo product