Physics niliiacha advance ila shrondinger ndo nimeuonja ugumu wake maana hata wale tulomajor kwenye chemistry anatuhenyeshaDah mkuu wapo wengi sana kaka huwezi kuwamaliza wote, ninao wakumbuka fasta fasta ni
Galileo Galilei
Torricelli
Schroedinger
Rutherford
Fermi
Christian Doppler
Bernoulli
Alessandro Volta
Raman
Pascal ( hata watoto wa form one wanamjua)
Fresnel
Compton
Archimedes
Cannon
Kuna m-russia mmoja alikua anaitwa Sakharov, na wengine weeengi sana.
Hahahahaaaaa kojoa kalaleClassic nyingi ni outdated Ndio maana kuna modern period table na Dalton
Newton motion in straight line na Galilei motion under gravity vilevile universal yake hadi spring watch
Hahahaaaa mkuu, kuna Schrödinger yupo kwenye quantum physics, baadhi ya kozi za eng wanamsoma, kuna kitu kinaitwa time dependent na time independent vipo kwenye wave equation, achana navo hivo vitu ni hatari.Physics niliiacha advance ila shrondinger ndo nimeuonja ugumu wake maana hata wale tulomajor kwenye chemistry anatuhenyesha
Quantum...***** sana hi kituPhysics niliiacha advance ila shrondinger ndo nimeuonja ugumu wake maana hata wale tulomajor kwenye chemistry anatuhenyesha
Basic engineering physics.Hahahaaaa mkuu, kuna Schrödinger yupo kwenye quantum physics, baadhi ya kozi za eng wanamsoma, kuna kitu kinaitwa time dependent na time independent vipo kwenye wave equation, achana navo hivo vitu ni hatari.
mwambie yuko la saba anataka kutuvurugaHahahahaaa mkuu ovagador ndio nani huyo?
Au umemaanisha Avogadro?
Siyo product ya Mulugo huyo jamaa hajafika popote kwenye physics sina uhakika kama classical physics anaijua!nmeshatambua kumbe najadili na mijitu ya mulugo product
Huyu kama hayupo kidato cha tano mmh!Upo kidato cha ngapi?
Wanajamii habari zenu
Ninauhakika kuna wanajukwaa wamewahi kusoma physics ambalo ni two in one yaani literature (laws and define) na mathematics (calculations ),zote hizo zimeundwa na wanasayansi wenye vipaji asilia ili zisomwe na watu wa kawaida je Kati ya hawa Nani alileta vitu complicated (vigumu kupanda)
Isaac Newton
Michael Faraday
Galilei Galileo
Archimedes
Ovagador
Last genius of the century (Albert Einstein)
Newton ni hatarii, me namkubali hadi kijana wangu nilimpa jina la Newton alifanana tar ya kuzaliwa kasoro mwezi, na mimi ninavyomkubali Isaac nikampa jina la Newton.baba wa physics ni Sir Isac Newton
huyu jamaa kwenye umeme yupo, mechanics yupo, wave motion yupo, electronics yupo, na hesabu yupo, sijui sehemu gani hayupo.
Wanasema ndiye binadam aliyetumia akili yake kuliko hata yesu na mohamad
hahaha... taratibu mkuu...ndo aina ya watu waliopo kizazi hiki.. jaribu kuwa mvumilivu...nmeshatambua kumbe najadili na mijitu ya mulugo product
Alafu mkuu, hawa wanasayansi sio kwamba ndio wameleta na kufanya vitu viwe vigumu, hawa ndio wamerahisisha mambo hadi leo hii tunauwezo wa kusoma zaidi ya topic tano kwenye kitabu kimoja,
Mfano mdogo chukulia labda kwenye chemistry, ile periodic table kuna element zaidi ya mia, sasa kuisoma tabia ya element moja baada ya nyingine hadi ukazimaliza zote ni ngumu sana, ndio maana kuna wanasayansi wengi walijaribu lakini wakashindwa kuziweka kwenye makundi hadi alipokuja Mendeleev ndio akafanikiwa kuunda hyo PT ambapo wanafunzi saiz wanasoma kwa raha huku wakisikiliza mziki na wengine wakichati, lakini kazi ilikua imeshafanywa na Mendeleev,
Newton motion in straight line na Galilei motion under gravity vilevile universal yake hadi spring watch