Ni nani kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi baada ya kifo cha Dkt. John Magufuli?

Hili ndio swali ambalo ninaanza kujiuliza kama CCM wataendeleza huu utamaduni kwa Mama Samia pale atapokabidhiwa rasimi madaraka ya uraisi.

Nasema hivi kwasababu utamaduni huu umekuwa ukitetewa sana na WANA-CCM, sasa ni wakati wa kuona kama kweli CCM wataheshimu huu utamaduni.

Wacha tusubiri.
 
huyu ni makamu wa raisi .... Makamu Mwenyekiti wa chama ni Mangula .... je chama kitaitisha mkutano mkuu kumsimika?

Mama Samia ataapishwa kuwa Rais,hivyo automatic anakuwa mwenyekiti wa chama mkuu,hilo halina mjadala. Panga pangua ya chama ni baada ya hii miaka mitano
 
Tulizeni boli hasa, maana maneno ya Nyerere kuwa upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM kukikosekana umakini yanaenda kutimia/kutimizwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…