Ni nani kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi baada ya kifo cha Dkt. John Magufuli?

Hili ndio swali ambalo ninaanza kujiuliza kama CCM wataendeleza huu utamaduni kwa Mama Samia pale atapokabidhiwa rasimi madaraka ya uraisi.

Nasema hivi kwasababu utamaduni huu umekuwa ukitetewa sana na WANA-CCM, sasa ni wakati wa kuona kama kweli CCM wataheshimu huu utamaduni.

Wacha tusubiri.
Huo siyo utamaduni. Hii iko kwenye katiba ya CCM. CCM siyo CHADEMA ambako katiba inakuza na kueneza ving'ang'anizi. Bila kuibadili katiba ya CHADEMA, Mbowe ni mwemyekiti wa maisha. Alipoona htakuwa raisi alijikita kwenye uraisi wa chama.
 
Huyu jamaa atakimbilia wapi wakati huko nje nako kapigwa ban
Atarudia kazi yake ya utingo. Huyu kijana alipata nafasi nzuri, lakini akawa na tamaa. Yeye alikfikia mahali akadhani yeye ni kipenzi namba moja cha Dar. Kumbe alikuwa adui namba moja wa wana Dar. Uongozi wake ulikuwa mbovu na alikuwa na majivuno mengi, kiasi alidirika kuwasukuma na kuwapiga wazeee wastaafu, wafanya biashara, wanafamilia na jamii kwa ujumla. Wakati akifanya hayo alikuwa akisindikizwa na wapambe. Magufuli alishindwa kumfuta kazi kwa sababu watu wengi saana walishiniiza amfukuze kazi. Tabia ya Magifuli ya Magufuli ilikuwa kutolazimishwa/shinikizwa kufanya lolote. Siku Makonda alichukuwa fomu ya kugombea ndiyo ilikuwa nafasi ya Magufuli kumfukuza kazi bila yeye kutamka amefukuzwa. Kila mtu alisikia marehemu alivyosistiza kutokuwa na tamaa. Yeye (Makonda) naona au hakuelewa au alikuwa na hakika tapitishwa na wananchi kama hatapitishwa CCM itamsaidia jina lake lirudi. Bahati mbaya kila mtu alikuwa anatafuta upenyo usio na lawama. Mwisho wake ulikuwa Makonda kujifukuzisha kazi. Anyway, sasa hivi ndiyo kapata pigo zaidi, maana alikuwa anadhani huenda akakumbukwa hata kwa ukatibu tarafa. Yeye atafute ajira nyingine! Labda aungane na wauza unga ambao alikuwa akiwasadia enzi hizo!
 
mnawashwa sana na makonda
ukiona hivi ujue alikua mti wenye matunda haukos kupigwa mawe..aliwabana kwenye maslahi itakua ndio mana kutwa magegon, wewe unayeandika saa nyingne hata kibanda huna upo kwa shemej unataka kupimana ubav na mtu ambaye huwrz hata kumfikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom