Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wasalaam wana jamvi.
Kwenye Sakata la kuumwa na kukosa hela msanii mzee Majuto kati ya jambo ambalo halizungumzwi ni meneja au msimamizi wa kazi za mzee Majuto pamoja na kazi ya Matangazo....
Ni vigumu sana kusema mzee Majuto alikuwa ana jisimamia mwenyewe na kusaini mikataba akiwa peke yake ni lazima kulikuwa na mtu ana msimamia...
Hivi ni kweli Majuto hakuwa na meneja? Meneja wake ni nani?
Nina hakika kabisa matatizo yanayompata sasa King Majuto kwa kiasi kikubwa imechangiwa na meneja au msimamizi wa kazi zake yeye ndiye kiini wa matatizo haya ya king Majuto.....Ni nani huyo?
Bila shaka tutapata kumjua Meneja wa Majuto najua Jamiiforums ni zaidi ya google..
Wasalaam