Ni nani meneja au msimamizi wa kazi za Mzee Majuto au anajisimamia mwenyewe?

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wasalaam wana jamvi.
Kwenye Sakata la kuumwa na kukosa hela msanii mzee Majuto kati ya jambo ambalo halizungumzwi ni meneja au msimamizi wa kazi za mzee Majuto pamoja na kazi ya Matangazo....
Ni vigumu sana kusema mzee Majuto alikuwa ana jisimamia mwenyewe na kusaini mikataba akiwa peke yake ni lazima kulikuwa na mtu ana msimamia...

Hivi ni kweli Majuto hakuwa na meneja? Meneja wake ni nani?
Nina hakika kabisa matatizo yanayompata sasa King Majuto kwa kiasi kikubwa imechangiwa na meneja au msimamizi wa kazi zake yeye ndiye kiini wa matatizo haya ya king Majuto.....Ni nani huyo?

Bila shaka tutapata kumjua Meneja wa Majuto najua Jamiiforums ni zaidi ya google..

Wasalaam
 
Sijajua kwanini watu wameikomalia hii issue,kwani ukipewa fedha za kazi ulizofanya zitakuwa zinaendelea kukaa bank tu? Hana vitu alivyofanya? Mbona Mzee ana biashara za Hiace na ana Mijengo tu? Inawezekana Fedha amewekeza kwenye biashara zake ambazo zinazompatia hela ya kurun maisha na familia,biashara kama za hivyo hauwezi unakapata mili 70 fasta kwa kukusanya mapato hapo ndio mnaona kama alikuwa hapati fedha labda aviuze ndio apate fedha.
 
Wasalaam wana jamvi.
Kwenye Sakata la kuumwa na kukosa hela msanii mzee Majuto kati ya jambo ambalo halizungumzwi ni meneja au msimamizi wa kazi za mzee Majuto pamoja na kazi ya Matangazo....
Ni vigumu sana kusema mzee Majuto alikuwa ana jisimamia mwenyewe na kusaini mikataba akiwa peke yake ni lazima kulikuwa na mtu ana msimamia...

Hivi ni kweli Majuto hakuwa na meneja? Meneja wake ni nani?
Nina hakika kabisa matatizo yanayompata sasa King Majuto kwa kiasi kikubwa imechangiwa na meneja au msimamizi wa kazi zake yeye ndiye kiini wa matatizo haya ya king Majuto.....Ni nani huyo?

Bila shaka tutapata kumjua Meneja wa Majuto najua Jamiiforums ni zaidi ya google..

Wasalaam
Meneja wake ni Steve Nyerere!
 
whos cares, wakati anatumbua pesa zake mbona hamkuuliza au mnawashwa.
 
Back
Top Bottom