Za jioni wana jf,
Ninachotaka kuwaeleza hapa ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express. Nilikuwa nikisikia tetesi nyingi sana kuhusu mmiliki wa mabasi haya wengine wakisema ni mtoto wa Rais ambaye ni Riziwani, ukweli ni kwamba mmiliki wa mabasi hayo ni Mohamed Salim (kifaranga) na katumia jina la ukoo wake kutengeneza jina hilo. Maana ya Ratco ni, RA-Rawahy, T-Transport, CO-Company.
Hilo ndilo maana ya RATCO.
Nawatakia jioni njema.