Na mimi ni mwanae wa kwanza wa mmiliki wa mabasi haya, na jina la Ratco lilianza zamani sana kabla hayajaanzishwa mabasi hayo, kabla ya Ratco lilikuepo jina la "Masukari" baada ya jina hilo ndipo jina la Ratco kutokea. Na Ratco ilianza kwenye malori ndipo yapo mpaka kwenye mabasi!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mbona haufanani nae sasa mzee wako? Au umefanana na mama?