Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
- Thread starter
-
- #41
Basi hizi blog zitakua hazina uhuru wa kuamua nini cha kuripoti!Sami Misago nae alikuwa anapost after school bash? Fiesta je alipost?
Mkuu ikulu imengiaje hapa?
degree muhimu pia katika tasnia hii ya habari
Nimjue mmiliki wa millardayo.comKwani wewe mtoa uzi shida yako ni nini hasa??
ukimjua ili iwaje?Nimjue mmiliki wa millardayo.com
Ili wafahamianeukimjua ili iwaje?
Mmiliki ni Millard Ayo mwenyewe ambaye ni mtangazaji wa Radio na TV Clouds Media.Habari Jf
Nimekua nikifuatilia kwa ukaribu sana habari kutoka blog mbalimbali Tanzania, mwisho wa siku nikalizishwa na kuiamini MILLARDAYO.COM kama blog inayocover habari za aina zote ndani na nje ya nchi.
Kilichonifanya kujiuliza, hii blog pendwa ni nani mmiliki wake?
nimejiuliza sana kutokana na ukimya wa blog hii huru kutokuripoti habari za tunza za EATV zilizofanyika usiku wa tarehe 10.
Vipi wakuu, mwenye uelewa wa hii blog inamilikiwa na nani ajaribu kunielekeza.
Pia inasimamia vitu gani hadi iweze kuripoti habari yako kwani kwa tukio la jana ndio lilikua tukio kubwa katika burudani hapa nchini lakini likasusiwa na millardayo kitu ambacho si kawaida yake!
Mwisho, pongezi nyingi ziwafikie East Africa Tv kwa kufanikisha EATV AWARDS 2016
Ni nani humpangia habari za kuripoti kupitia millardayo.com?Mmiliki ni Millard Ayo mwenyewe ambaye ni mtangazaji wa Radio na TV Clouds Media.
Ni yeye mwenyewe anapata habari kutoka vyanzo mbalimbali vya ndani na nje na baada ya kujiridhisha kuhusu ukweli na uhalali wake inapostiwa kwenye mtandao wake na wafanyakazi wake.Ni nani humpangia habari za kuripoti kupitia millardayo.com?
Sawa mkuu!Ni yeye mwenyewe anapata habari kutoka vyanzo mbalimbali vya ndani na nje na baada ya kujiridhisha kuhusu ukweli na uhalali wake inapostiwa kwenye mtandao wake na wafanyakazi wake.
Kwa hapo sijui chochote mkuu pia huwa kuna makubaliano ya kupost labda wahusika hawakupenda event yao ipostiwe, Nawaza tu lakini.Sawa mkuu!
vp tukio la decemba 10 mlimani city nini kilimkumba hadi akalifumbia macho
Kwa hiyo udogo wake ndo wanafanya sahihi kubagua habari?ni blog ndogo sana hii na haina nguvu kubwa kama millardayo
Akili nyingine bhana, zinazidiwa kufikiri na kuku!Kinachonishangaza ni Millard Ayo huyohuyo anayechukuaga vipande vya habari kutoka ITV nakuviweka kwenye blog yake....
Kwahili alilofanya Millard nawashauri ITV wampige marufuku kurusha vipande vya habari zao kwenye blog yake