Ni nani Mmiliki Wa Blog Hii Millardayo.com?

Ni sawa tu na kuuliza mbona eatv hawaripoti after school bash, fursa, fiesta, kampeni ya kipepeo, ziara ya makonda etc.
Kama tu MTV international hawareport kuhusu BET Awards, Nickelodeon hawarushi cartoon za hanna barbera na cartoon network hawareport kuhusu teen choice awards za nickelodeon.
Ila unaweza ukaniuliza kwani millard ayo inamilikiwa na clouds?... Jibu ni kwamba, tayari ina association kubwa na clouds coz inapigwa promo for free clouds akiwa anatangaza.
What I dont understand ni kwa nini bongo tunaona kuwa ni tatizo, wakati its just normal kwenye this capitalist world.
I know this is controversial but hey, its all just business.
 
Mmiliki ni Millard Ayo. Hayo Mengine yaacheni yakae hivyo hivyo maana hayahusiani na sisi.
 
Nadhani ni yeye mwenyewe hata ofisi ya vijana wake wa kazi ya uandishi pale njia panda ya kwenda msewe mbele ya tanesco ubungo kama unaenda kimara mkono wa kulia pale kuna branch ya ofisi yake!!
 
Kinachonishangaza ni Millard Ayo huyohuyo anayechukuaga vipande vya habari kutoka ITV nakuviweka kwenye blog yake....
Kwahili alilofanya Millard nawashauri ITV wampige marufuku kurusha vipande vya habari zao kwenye blog yake
Hapa sijui hutumia kigezo gani wakati ITV na EATV zinamilikiwa na IPP
 
You nailed it[emoji109] [emoji109]
 
Ukiwa kijana unafanya mambo.ya ajabu ajabu..uzeeni utakua mchawi kabisa....

Napita tu!
 

anzia hapa kumjua mumiliki

Domain Name: MILLARDAYO.COM
Registry Domain ID: 1679588119_DOMAIN_COM-VRSN
Registrar WHOIS Server: whois.godaddy.com
Registrar URL: GoDaddy : Noms de Domaine, Sites Internet, Hébergeur Web
Update Date: 2016-09-30T12:32:46Z
Creation Date: 2011-09-29T11:56:54Z
Registrar Registration Expiration Date: 2017-09-29T11:56:54Z
Registrar: GoDaddy.com, LLC
Registrar IANA ID: 146
Registrar Abuse Contact Email: abuse@godaddy.com
Registrar Abuse Contact Phone: +1.4806242505
Registry Registrant ID: Not Available From Registry
Registrant Name: Basil Lyayuka
Registrant Organization: idodoe enterprises
Registrant Street: PO BOX 71667 DSM
Registrant Street: Kimara Korogwe
Registrant City: Dar Es Salaam
Registrant State/Province: Ubungo
Registrant Postal Code: 255
Registrant Country: TZ
Registrant Phone: +255.714000009
Registrant Phone Ext:
Registrant Fax:
Registrant Fax Ext:
Registrant Email: shikila19@gmail.com
Registry Admin ID: Not Available From Registry
Admin Name: Basil Lyayuka
Admin Organization: idodoe enterprises
Admin Street: PO BOX 71667 DSM
Admin Street: Kimara Korogwe
Admin City: Dar Es Salaam
Admin State/Province: Ubungo
Admin Postal Code: 255
Admin Country: TZ
Admin Phone: +255.714000009
Admin Phone Ext:
Admin Fax:
Admin Fax Ext:
Admin Email: shikila19@gmail.com
Registry Tech ID: Not Available From Registry
Tech Name: Basil Lyayuka
Tech Organization: idodoe enterprises
Tech Street: PO BOX 71667 DSM
Tech Street: Kimara Korogwe
Tech City: Dar Es Salaam
Tech State/Province: Ubungo
Tech Postal Code: 255
Tech Country: TZ
Tech Phone: +255.714000009
Tech Phone Ext:
Tech Fax:
Tech Fax Ext:
Tech Email: shikila19@gmail.com
Name Server: NOAH.NS.CLOUDFLARE.COM
Name Server: UMA.NS.CLOUDFLARE.COM
DNSSEC: unsigned
 
Millard bro ka utafanikiwa kupita hapa usome kwa makini..."Clouds wamekuajiri lakini mabosi wako ni wasikilizaji wako..tunakubali kuna rivalty but sio kigezo cha wewe kushindwa kuripoti tukio kubwa kama hilo, kumbuka wewe ni muandishi wa habari na moja ya jukumu lako ni kuhabarisha watu bila ku be biased kwa namna yeyote! Timiza jukumu lako bro
 
Unafikiri isingekuwa ya Millard Ayo ingeitwa kwa jina lake,au labda hata Millard humfaham?

Hivi kwani EATV waliitangaza Fiesta? Kama hawakuitangaza ndo upate majibu sasa.Ye analinda kazi yake kwa kutotangaza habari ambazo kituo chake wamezikataa so hayuko huru
 
Fiesta ilikua ya Clouds!
tofautisha millardayo.com na clouds mkuu
 
nenda zembwela.uswazi zimeripotiwa full coverage.picha tatu za tuzo za kiba kimbia fasta uache kulalamika
 
wazungu wanasema two wrongs doesn't make it right. ni hatari sana mwanahabari asipokuwa huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…