wew nahisi ni ruge mtahaba.. una tamaaa kama niniMbona sammissago.com haijawahi post fiesta??
Au wakifanya wengine wapo sawa ila wakifanya clouds ni kosa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wew nahisi ni ruge mtahaba.. una tamaaa kama niniMbona sammissago.com haijawahi post fiesta??
Au wakifanya wengine wapo sawa ila wakifanya clouds ni kosa?
Sio kwamba ni ruge... Its just a logical question...wew nahisi ni ruge mtahaba.. una tamaaa kama nini
Nadhani ni yeye mwenyewe hata ofisi ya vijana wake wa kazi ya uandishi pale njia panda ya kwenda msewe mbele ya tanesco ubungo kama unaenda kimara mkono wa kulia pale kuna branch ya ofisi yake!!Habari Jf
Nimekua nikifuatilia kwa ukaribu sana habari kutoka blog mbalimbali Tanzania, mwisho wa siku nikalizishwa na kuiamini MILLARDAYO.COM kama blog inayocover habari za aina zote ndani na nje ya nchi.
Kilichonifanya kujiuliza, hii blog pendwa ni nani mmiliki wake?
nimejiuliza sana kutokana na ukimya wa blog hii huru kutokuripoti habari za tunza za EATV zilizofanyika usiku wa tarehe 10.
Vipi wakuu, mwenye uelewa wa hii blog inamilikiwa na nani ajaribu kunielekeza.
Pia inasimamia vitu gani hadi iweze kuripoti habari yako kwani kwa tukio la jana ndio lilikua tukio kubwa katika burudani hapa nchini lakini likasusiwa na millardayo kitu ambacho si kawaida yake!
Mwisho, pongezi nyingi ziwafikie East Africa Tv kwa kufanikisha EATV AWARDS 2016
Hapa sijui hutumia kigezo gani wakati ITV na EATV zinamilikiwa na IPPKinachonishangaza ni Millard Ayo huyohuyo anayechukuaga vipande vya habari kutoka ITV nakuviweka kwenye blog yake....
Kwahili alilofanya Millard nawashauri ITV wampige marufuku kurusha vipande vya habari zao kwenye blog yake
You nailed it[emoji109] [emoji109]Ni sawa tu na kuuliza mbona eatv hawaripoti after school bash, fursa, fiesta, kampeni ya kipepeo, ziara ya makonda etc.
Kama tu MTV international hawareport kuhusu BET Awards, Nickelodeon hawarushi cartoon za hanna barbera na cartoon network hawareport kuhusu teen choice awards za nickelodeon.
Ila unaweza ukaniuliza kwani millard ayo inamilikiwa na clouds?... Jibu ni kwamba, tayari ina association kubwa na clouds coz inapigwa promo for free clouds akiwa anatangaza.
What I dont understand ni kwa nini bongo tunaona kuwa ni tatizo, wakati its just normal kwenye this capitalist world.
I know this is controversial but hey, its all just business.
Sasa ile blog inauhusiano gani na ufanyakazi clouds fm
Habari Jf
Nimekua nikifuatilia kwa ukaribu sana habari kutoka blog mbalimbali Tanzania, mwisho wa siku nikalizishwa na kuiamini MILLARDAYO.COM kama blog inayocover habari za aina zote ndani na nje ya nchi.
Kilichonifanya kujiuliza, hii blog pendwa ni nani mmiliki wake?
nimejiuliza sana kutokana na ukimya wa blog hii huru kutokuripoti habari za tunza za EATV zilizofanyika usiku wa tarehe 10.
Vipi wakuu, mwenye uelewa wa hii blog inamilikiwa na nani ajaribu kunielekeza.
Pia inasimamia vitu gani hadi iweze kuripoti habari yako kwani kwa tukio la jana ndio lilikua tukio kubwa katika burudani hapa nchini lakini likasusiwa na millardayo kitu ambacho si kawaida yake!
Mwisho, pongezi nyingi ziwafikie East Africa Tv kwa kufanikisha EATV AWARDS 2016
Fiesta ilikua ya Clouds!Unafikiri isingekuwa ya Millard Ayo ingeitwa kwa jina lake,au labda hata Millard humfaham?
Hivi kwani EATV waliitangaza Fiesta? Kama hawakuitangaza ndo upate majibu sasa.Ye analinda kazi yake kwa kutotangaza habari ambazo kituo chake wamezikataa so hayuko huru
Try againSammisago.com kwani hii blog imewai report fiesta m achen utoto
Ndo maana nikasema hayupo huru analinda kazi yake kwa kutotangaza habari ambazo kituo chake imezikataaFiesta ilikua ya Clouds!
tofautisha millardayo.com na clouds mkuu
nenda zembwela.uswazi zimeripotiwa full coverage.picha tatu za tuzo za kiba kimbia fasta uache kulalamikaHabari Jf
Nimekua nikifuatilia kwa ukaribu sana habari kutoka blog mbalimbali Tanzania, mwisho wa siku nikalizishwa na kuiamini MILLARDAYO.COM kama blog inayocover habari za aina zote ndani na nje ya nchi.
Kilichonifanya kujiuliza, hii blog pendwa ni nani mmiliki wake?
nimejiuliza sana kutokana na ukimya wa blog hii huru kutokuripoti habari za tunza za EATV zilizofanyika usiku wa tarehe 10.
Vipi wakuu, mwenye uelewa wa hii blog inamilikiwa na nani ajaribu kunielekeza.
Pia inasimamia vitu gani hadi iweze kuripoti habari yako kwani kwa tukio la jana ndio lilikua tukio kubwa katika burudani hapa nchini lakini likasusiwa na millardayo kitu ambacho si kawaida yake!
Mwisho, pongezi nyingi ziwafikie East Africa Tv kwa kufanikisha EATV AWARDS 2016
wazungu wanasema two wrongs doesn't make it right. ni hatari sana mwanahabari asipokuwa huru.Ni sawa tu na kuuliza mbona eatv hawaripoti after school bash, fursa, fiesta, kampeni ya kipepeo, ziara ya makonda etc.