Ni nani mmiliki wa huu ulimwengu/dunia?

Ni nani mmiliki wa huu ulimwengu/dunia?

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,549
Reaction score
4,133
Tangu naanza kupata mafundisho ya kiiman.... Niliambiwa dunia ni ya Mungu... Lkn kwa sasa wamepinga sana uwepo wa Mungu.
Hata wana sayansi nao wamepinga uwepo wa Mungu.

Sasa je... Hii dunia na vyote viijazavyo ni mali ya nani?
 
ulimwengu na vyote viijazavyo ni mali ya Mungu
 
Tangu naanza kupata mafundisho ya kiiman.... Niliambiwa dunia ni ya Mungu... Lkn kwa sasa wamepinga sana uwepo wa Mungu.
Hata wana sayansi nao wamepinga uwepo wa Mungu.

Sasa je... Hii dunia na vyote viijazavyo ni mali ya nani?
Ya kaisari muachie kaisari na ya musa mpe musa, huwezi changanya dini na sayansi
 
mauti yako mbele yetu tutaiacha dunia kila siku zinavyosonga tunakarbia maut
 
Tangu naanza kupata mafundisho ya kiiman.... Niliambiwa dunia ni ya Mungu... Lkn kwa sasa wamepinga sana uwepo wa Mungu.
Hata wana sayansi nao wamepinga uwepo wa Mungu.

Sasa je... Hii dunia na vyote viijazavyo ni mali ya nani?
Waliopinga ni wanadamu au ni Mungu mwenyewe?
 
dunia ni pumbao mungu anasema.mtume alisema ishi duniani kama upo safarini
 
Tangu naanza kupata mafundisho ya kiiman.... Niliambiwa dunia ni ya Mungu... Lkn kwa sasa wamepinga sana uwepo wa Mungu.
Hata wana sayansi nao wamepinga uwepo wa Mungu.

Sasa je... Hii dunia na vyote viijazavyo ni mali ya nani?
Jibu ni Mungu..
 
Back
Top Bottom