Ni nani mmiliki wa huu ulimwengu/dunia?

Ni nani mmiliki wa huu ulimwengu/dunia?

Tangu naanza kupata mafundisho ya kiiman.... Niliambiwa dunia ni ya Mungu... Lkn kwa sasa wamepinga sana uwepo wa Mungu.
Hata wana sayansi nao wamepinga uwepo wa Mungu.

Sasa je... Hii dunia na vyote viijazavyo ni mali ya nani?
ni mimi na wewe imiliki wetu.ukiisha tunakufa
 
Humanity OWNS the World. We call it Home. Kwa tunaoamini dini, Mungu ndiye aliyetengeneza dunia, ulimwengu na vyote vilivyopo ndani yake.
 
Ibilisi akampeleka Yesu juu kabisa akamwonesha milki yake....
Ref YESU ANAPOJARIBIWA.

Ina maana biblia inajipinga?

Biblia imeandikwa kwa lugha ya kuficha. Ukisoma kitabu cha Mwanzo utaona Mungu alifanya uumbaji. Kwenye hiyo reference ya Yesu kujaribiwa, "milki" shetani aliyokua anazungumzia ni jinsi alivyowateka watu na mali zao...haikumaanisha kwamba yeye ndiye aliyeumba na kufanya.
Tukirudi kwenye mada, swali linauliza umiliki...general answer wanadamu ndio wamiliki wa dunia. Uumbaji ulifanyika na Mungu (dini)
 
hata kama mungu hnayupo, lakini kuna power kubwa kuliko sisi binaadamu. icho kitu lazima uamini
 
Wanasayansi ni wadudu gani hadi wapinge uwepo wa mungu.. wewe ujiulizi kuwa hawa Wanasayansi wameumbwa na nani..!? na wanafanya tafiti kwa vitu alivyoumba nani..!? Jitambue
 
These wazungus, knows something about this world.

Coz kila kitu wanaanza kukielezea wao, wanaeza wasiwe wote wanaojua, but kuna some people among wazungus knows.

Kyaaa
 
Tangu naanza kupata mafundisho ya kiiman.... Niliambiwa dunia ni ya Mungu... Lkn kwa sasa wamepinga sana uwepo wa Mungu.
Hata wana sayansi nao wamepinga uwepo wa Mungu.

Sasa je... Hii dunia na vyote viijazavyo ni mali ya nani?
Usiige wengine, Tafuta ukweli wewe mwenyewe!!!
 
Hebu nikuulize swali ni nani aliyeiumba dunia hii na vyoye vilivyomo?

Kama ukimjua aliyeiumba dunia hii basi ndiye mmiliki maana ameweza kuiumba na anaweza kuibomoa..hiyo peke yake ni hati miliki.
Kwaio aliyeiumba ndiye mmiliki.

Mfinyanzi siku zote anaweza kukifinyanga kitu na kikatokea...kama apendavyo.
Na wakati huohuo anaweza akakibomoa.
Fundi mbujifu anaweza akabuni mashine jinsi awezavyo na anaweza akaiharbu kama atakavyo na mtu yeyote asiweze kuitengeneza...huyo ni mmiliki.

Aliyeweza kukupa pumzi na kuiondoa huyo ndiye anayekumiliki wewe.
Kuondoa pumzi ni wakati wowote kama jinsi apendavyo haitaji ushauri..
Huyo anakumiliki..
Vivyo hivyo kwa dunia.
 
Ibilisi akampeleka Yesu juu kabisa akamwonesha milki yake....
Ref YESU ANAPOJARIBIWA.

Ina maana biblia inajipinga?
Shetani akamwonyesha Yesu miliki yake..
Biblia inasema miliki yake, siyo dunia yake.
Tofautisha hapo mkuu.
Mimi naweza nikamwonyesha Yesu miliki yangu.. ambavyo ni mashamba,baiskel,gari,ng'ombe,mbwa punda na kadhalika.
Hivyo vyote nna vimiliki mm mwenyewe na hati ninayo.
Hata ww unavyo ,unavyo vmiliki ww mwnyw ikiwemo hiyo android ambapo mimi siwez kukunyang'anya hivyo umilikivyo.
Biblia ipo wazi sana.
 
Unganisha na ule mstari... Dunia na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA.
halafu u comment tena mkuu
 
  • Thanks
Reactions: 1gb
Back
Top Bottom