kilamuruzi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,232
- 1,075
ni mimi na wewe imiliki wetu.ukiisha tunakufaTangu naanza kupata mafundisho ya kiiman.... Niliambiwa dunia ni ya Mungu... Lkn kwa sasa wamepinga sana uwepo wa Mungu.
Hata wana sayansi nao wamepinga uwepo wa Mungu.
Sasa je... Hii dunia na vyote viijazavyo ni mali ya nani?
Sir ni Cheo cha kibinadamuSir GOD
Ibilisi akampeleka Yesu juu kabisa akamwonesha milki yake....
Ref YESU ANAPOJARIBIWA.
Ina maana biblia inajipinga?
Mkuu hicho kifungo kwenye bible ya kikorea ama??Ya kaisari muachie kaisari na ya musa mpe musa, huwezi changanya dini na sayansi
Usiige wengine, Tafuta ukweli wewe mwenyewe!!!Tangu naanza kupata mafundisho ya kiiman.... Niliambiwa dunia ni ya Mungu... Lkn kwa sasa wamepinga sana uwepo wa Mungu.
Hata wana sayansi nao wamepinga uwepo wa Mungu.
Sasa je... Hii dunia na vyote viijazavyo ni mali ya nani?
kuna ulazima gani..?hata kama mungu hnayupo, lakini kuna power kubwa kuliko sisi binaadamu. icho kitu lazima uamini
Shetani akamwonyesha Yesu miliki yake..Ibilisi akampeleka Yesu juu kabisa akamwonesha milki yake....
Ref YESU ANAPOJARIBIWA.
Ina maana biblia inajipinga?
Unganisha na ule mstari... Dunia na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA.Shetani akamwonyesha Yesu miliki yake..
Biblia inasema miliki yake, siyo dunia yake.
Tofautisha hapo mkuu.
Mimi naweza nikamwonyesha Yesu miliki yangu.. ambavyo ni mashamba,baiskel,gari,ng'ombe,mbwa punda na kadhalika.
Hivyo vyote nna vimiliki mm mwenyewe na hati ninayo.
Hata ww unavyo ,unavyo vmiliki ww mwnyw ikiwemo hiyo android ambapo mimi siwez kukunyang'anya hivyo umilikivyo.
Biblia ipo wazi sana.