joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahahaha, wewe imekua ndiye monitoring and evaluation officer wa miradi?, wewe hupaswi kujua mradi umefikia hatua gani, muhimu kwako ni kusubiri November 2019 kuona kama train ya kwanza Africa ya bullet haijaanza safari ya Dar- Moro.
Nina kumbuka wewe na wenzako mliwahi kusema Tanzania haina uwezo wa kujenga hata kilometa moja ya train ya umeme, sasa hivi lugha inebadilika unazungumzia % ya Ujenzi ulipofikia, utapata taabu sana.
Nina kumbuka wewe na wenzako mliwahi kusema Tanzania haina uwezo wa kujenga hata kilometa moja ya train ya umeme, sasa hivi lugha inebadilika unazungumzia % ya Ujenzi ulipofikia, utapata taabu sana.
joto la jiwe hujajibu swali langu umelikwepa na kuanza visingizio basi muite mwenzako NDINDA akusaidie uone vile hata yeye atatoroka....Njia ya muongo ni fupi. Hamna 47% yeyote ujenzi hata nashuku umesimama mkizingija hela za mkopo.