Ni nani mnufaika wa Grand Ethiopian Renaissance halts?

Link ya Tanroads iko na 47 projects. Of which wamechanganya all manner of projects, kutoka universities, airports to hospitals.
Nimekuambia lete link yenu inayoonyesha projects zote in details, usianze kukosoa, wewe lete projects zenu zote hata barabara za Kibera.

Hii website ina pages 8, jumla ya projects zipo 157, hizi ni projects za Tanroads pekee, hazihusishi barabara za vijijini ambazo zipo chini ya TARURA. Ukiweka link yenu inayoonyesha details kama hii, nitakuletea link ya TARURA

Lete link yenu yenye idadi kubwa inayozidi hizi za Tanroads ambazo ni 157. Acha kukosoa hii, wewe leta link yenu tulinganishe, usipoleta ujue kwamba Kenya ni mtoto mdogo sana kwa Tanzania.
 

Hii ni mara ya sita na ya mwisho nakupa hii link - President's Delivery Unit - Flagship Projects - National Roads Network

Kama hauna bundles za kufungua useme usaidiwe.

Hio website ya Tanroads nimefungua hizo page zote. 47 projects. Ambazo zimechanganywa na sio barabara pekee.
 
Wewe ni kichaa, hii page inaonyesha picha na Maelezo kidogo. Inaonekana umeshindwa kuleta projects details, unapiga domo tupu, hii inadhihirisha kwamba Kenya ni mtoto mdogo sana kwa Tanzania.

Lete link inayoonyesha
1)Jina la barabara(project)
2)Urefu wa barabara
3)Gharama za Ujenzi
4)Jina la contractors
5)Hatua mradi ulipofikia

Wewe usilete picha za barabara
Kenya kamwe haiwezi kuifikia hata nusu Tanzania katika barabara, kusini mwa Sahara, Tanzania ipo nyuma ya South Africa pekee.
 

Hio link iko na hayo yote.
On top of that, inakwambia completion percentage as of now.
 
When I say there are mad people on this forum people think I'm playing.
Kweli umeshikwa pabaya!! Katika yote umeona upumulie hapo [emoji23]. BTW hiyo nilisha iweka sawa kwakua huna hoja umeamua ukomae nalo. Pambana na hali yako msee
 
Msee hii article yako umeisoma kweli!!??
Imesema Kenya decreased its allocation from $7.4 B! Ila wewe una komaa na namba hiyo hiyo!! Ukishuka chini wame state clear Kenya kiasi chake ni $6.25. Kwa Tz wamesema ime increase from $5.27B.
Halafu ukitaja fiscal year uwe clear. Kama hapo wana ongelea 2017/2018. Wewe una sema 2017 ili uwe napakutokea [emoji1]. Punguza janja janja
 
Yani kama uliyo yaandika ndio yanafanyika na juzi jiwe kaongeza vitu vingi sana kuhusu hizo project zingine , basi nimeamini kabisa sasa hivi awamu hii iliyopo imechemka sana na haina muelekeo .
mkuu frankly speaking we are doomed.........


watanzania hii tabia ya kwamba kesho itakua nzuri katurithisha baba yetu nyerere........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…