CCM & Wanamtandaoje tumewahi kujiuliza ni nani huyu asiyetaka tukjikwamue kwenye umasikini kwa namna yetu wenyewe?
Tutafakari
Tanzania sio taifa changa, ni mojawapo ya mataifa kongwe Africa.Kama Taifa changa
EPA, ESCROW, Kagoda, meremeta bandari na Loliondo kwa waarabu, Wamasai Ngorongoro,be honest
Halafu tunaambiwa ni taifa changa 😀😀Miaka zaidi ya 60 ya uhuru ila vipaumbele vyetu ni maji, vyoo na elimu bure😂😅
Singapore ni taifa changa zaidi ya Tanzania.Ni Taifa Changa duniani.
Na wewe unajihesabu kuwa ni mtu hai, kweli?Kama wazalendo tujiulize sana tena sana ni nani shabiki wa machafuko nchini?
Kwa nini kikundi kilekile ndio hubakia kuwa wachochezi wa fujo kila mwaka na kwa kila Rais?
Kama Taifa changa je tumewahi kujiuliza ni nani huyu asiyetaka tukjikwamue kwenye umasikini kwa namna yetu wenyewe?
Tutafakari
Hakuna maandamano yoyote wala machafuko yoyote. Siku ya October 29, jitokeze kamchague kiongozi yoyote unayemtaka.Kama wazalendo tujiulize sana tena sana ni nani shabiki wa machafuko nchini?
Kama Taifa changa je tumewahi kujiuliza ni nani huyu asiyetaka tukjikwamue kwenye umasikini kwa namna yetu wenyewe?
Tutafakari
Mimi namataka LissuHakuna maandamano yoyote wala machafuko yoyote. Siku ya October 29 damages, kamchague kiongozi yoyote unayemtaka.
P
Kwa vile Lissu sio mgombea, nakushauri nenda kamchague mgombea mwingine yeyote, mfano hata sisi Wasukuma, tulipanga kura zetu zote kwa Mpina, Mpina akawa sio mgombea, sasa tutampa mgombea anayelipa!. Thread 'Je Wajua Kura Yako Ndio Inamuajiri Rais wa JMT na Serikali Yake Yote?. Hivyo Wewe Ndiye The Big Boss, Rais ni Mtumishi Wako!. Asikudangaye Mtu Usipige' Je Wajua Kura Yako Ndio Inamuajiri Rais wa JMT na Serikali Yake Yote?. Hivyo Wewe Ndiye The Big Boss, Rais ni Mtumishi Wako!. Asikudangaye Mtu UsipigeMimi namataka Lissu
Wagombea wengine wanaoweza kuwa mbadala wa Lissu ni nani?Kwa vile Lissu sio mgombea, nakushauri nenda kamchague mgombea mwingine yeyote, mfano hata sisi Wasukuma, tulipanga kura zetu zote kwa Mpina, Mpina akawa sio mgombea, sasa tutampa mgombea anayelipa!.
P
Lissu hana mbadala!, Ila kuna mgombea mmoja tuu anayelipa, kamchague mgombea huyo!, tena nakuomba asikudangaye mtu usijitokeze kupiga kura Thread 'Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!' Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!Wagombea wengine wanaoweza kuwa mbadala wa Lissu ni nani?
Anayelipa kwa nani?Lissu hana mbadala!, Ila kuna mgombea mmoja tuu anayelipa, kamchague mgombea huyo.
P
Nina mashaka makubwa na uraia wa baadhi ya viongozi wa juu.Kama wazalendo tujiulize sana tena sana ni nani shabiki wa machafuko nchini?
Kwa nini kikundi kilekile ndio hubakia kuwa wachochezi wa fujo kila mwaka na kwa kila Rais?
Kama Taifa changa je tumewahi kujiuliza ni nani huyu asiyetaka tukjikwamue kwenye umasikini kwa namna yetu wenyewe?
Tutafakari